Nini kimepelekea Kadinali Pengo kuondolewa kwenye tovuti ya Jimbo Kuu la D'Salaam?

Mimi siyo mkatoliki lakini huyo askofu namsikilizaga sana... ni mzungumzaji mzuri, hachoshi ukimsikiliza. Mwingine ni yule wa dodoma sijui anaitwa nani ila hao jamaa ni wazuri sana kwenye kuzungumza.

Yule wa Dodoma anaitwa Beatus Kinyaiya, OFM Cap. yaani wote wanatokea shirika la Wakapuchini. Kama wewe si mkatoliki na umeona hivyo basi maana yake Shirika wa Wakapuchini ni ma genious.
 
Back
Top Bottom