Nini kimempata Nassari?

Nini kimempata Nassari?

Muangalieni vizuri na kwa karibu bibi Kiroboto, siku hizi ana unholy alliance na Zitto!!
Kwa kweli mimi Zitto simwamini kabisa kukabidhiwa majukumu yeyote ya chama, huwa sina imani hata kama anampigia kampeni mgombea wa CDM.
 
Magari zaidi ya 10 X how many litres of petrol=KODI ZETU.

Kodi zenu kutoka kwenye mfuko upi. hivi ujui kuwa wanacdm wanajigaramia wenyewe na hata wabunge wanakatwa mishahara yao ili kuendesha chama. Fuatilia uelewe usiwe unaropoka tu. Kodi zenu kaulize kwenye chama chako cha ccmafisi ndio utajua zinaenda wapi.
 
CDM jana ilishindwa kuwahudhurisha wabunge wake wapya kuapa bungeni kukwepa aibu ya kutopata coverege ya media kwani vyombo vyote vilikuwa na Kanumba....Sasa inashangaza kuwa walikuwa tayari kukiuka kanuni za Bunge kisa wantafuta muda wa kupata coverege....shame!! Hata hivyo hongera kwa Zitto walau kidogo kwa kuamua kuomba radhi kwa tukio hilo......
 
Na wewe ngojea coverage kwenye siku ya mazishi.
 
Akili nyingine...ila sikulaumu coz vijana wengi mnakula ugoro na gongo.
 
CDM jana ilishindwa kuwahudhurisha wabunge wake wapya kuapa bungeni kukwepa aibu ya kutopata coverege ya media kwani vyombo vyote vilikuwa na Kanumba....Sasa inashangaza kuwa walikuwa tayari kukiuka kanuni za Bunge kisa wantafuta muda wa kupata coverege....shame!! Hata hivyo hongera kwa Zitto walau kidogo kwa kuamua kuomba radhi kwa tukio hilo......

Kama ni kweli basi ni tukio la ajabu kupindukia.

Tupe source basi.
 
thumbnail.aspx

Artificial intelligence is no match for natural stupidity
 
Hivi kwa akili zako, kukosa coverage kutokana na mazingira kama ya jana inakuwaje aibu?
 
CDM jana ilishindwa kuwahudhurisha wabunge wake wapya kuapa bungeni kukwepa aibu ya kutopata coverege ya media kwani vyombo vyote vilikuwa na Kanumba....Sasa inashangaza kuwa walikuwa tayari kukiuka kanuni za Bunge kisa wantafuta muda wa kupata coverege....shame!! Hata hivyo hongera kwa Zitto walau kidogo kwa kuamua kuomba radhi kwa tukio hilo......
Wewe huelewi kinachoendelea ndiyo maana unalopoka tu,waliomba waapishwe leo kwasasa babu wabunge hawakuwa namawasiliano.Pia leo hii nipo hapa DODOMA viwanja vya BARAFU ambapo viongozi wote wa kitaifa wa CHADEMA pamoja na wabunge wote watahutubia wananchi wa dodoma na watanzania wote
 
CDM jana ilishindwa kuwahudhurisha wabunge wake wapya kuapa bungeni kukwepa aibu ya kutopata coverege ya media kwani vyombo vyote vilikuwa na Kanumba....Sasa inashangaza kuwa walikuwa tayari kukiuka kanuni za Bunge kisa wantafuta muda wa kupata coverege....shame!! Hata hivyo hongera kwa Zitto walau kidogo kwa kuamua kuomba radhi kwa tukio hilo......

Mkuu vipi unatokea kwenye chemba ya mavi nini?
 
Sasa hiyo ni kukwepa aibu au kujua kuchanga karata zao??

So were you happy yesterday when the whole nation was 'Kanumbased'?
 
CDM jana ilishindwa kuwahudhurisha wabunge wake wapya kuapa bungeni kukwepa aibu ya kutopata coverege ya media kwani vyombo vyote vilikuwa na Kanumba....Sasa inashangaza kuwa walikuwa tayari kukiuka kanuni za Bunge kisa wantafuta muda wa kupata coverege....shame!! Hata hivyo hongera kwa Zitto walau kidogo kwa kuamua kuomba radhi kwa tukio hilo......

Zitto ni kiongozi wa CDM, kwahiyo hata yeye aibu ameipata kama ni suala la aibu. Kwahiyo kuomba radhi sio kwamba amewasaidia CDM....ni jukumu lake!! Kuhusu kutokuwahudhurisha kwa kuhofia low media coverage, huo ni uongo kwasababu hata habari ya kutokuapishwa kwao imepata media coverage!! Vyombo vya habari vipo kila mahali ndugu....
 
Kimsingi akili unayo. Kuweza kufikiri kwa upande huu wa shilingi ni uwezo mkubwa wa kufikiri. Hata hivyo, akili yako unaitumia zaidi kwenye mizaha, na mizaha hiyo inatokana na wewe kuambatana na magamba. Waswahili husema, "Niambie marafiki zako nami nitakwambia tabia yako." Watu unaoambatana nao wamekuharibu na sasa unahaha kwa sababu umekosa watu wa kukushauri na kukuongoza vyema.
 
Back
Top Bottom