Nini kimempata Nassari?

Hatamimi nimeshangaa sana sikuitegemea hiyo picha. nilikuwa na hamu sana kuwaona wabunge wapya wakiapa na kuanza kazi zao rasmi kama wabunge. Au kuna tatizo gani limetokea? kusubiri hadi kamati ya uongozi ipange upya! not good at all
 
huu ni uzembe wa uongozi chadema..chadema vitu vingi tunafanya kama tupo kwenye kampeni kwa hali hii kunatofauti gani na wasira anaelala bungeni.?
Wewe unajua ratiba ya kuapishwa kuliko Mbowe acha unafiki wa siku moja kwa vile najua kesho utanyamaza.
 
Uzuri wa CHADEMA ni kwamba hawatapiga siasa, wataeleza tu sababu ipi imepelekea hayo....tena muda si mrefu..
 
Mbona hao Magamba wanaapishwa Sana Lakini wanatafuna rushwa kama mchwa kwahiyo kuapishwa sio kitu muhimu sana tunachohitaji ni hoja za msingi naomba wana bodi tuache unafiki tusi mhukumu mtu kwa makosa madogo madogo kama hayo wakati kuna mijitu inapuputisha uchumi wetu lakini tunauchuna
 
Serikali yote ipo Leaders Club wanamzika kanumba!!

Rais
Waziri mkuu
Makamu rais
Waziri wa habari na michezo
waziri wa akina mama na watoto
waziri wa afya
mwanasheria mkuu wa serikali
Makamu wa Spika - ndugai


Sasa hapo unataka nini tena kujua serikali hii ni hovyohovyo!!

Umekurupuka Jombaa; kwani Rais na Makam wake wanahusikaje na kikao Bunge?
 
Ikulu kuna mapepo.source waziri Nyalandu.ok one question to ask ule mkono wa Mudhihir pale mjengoni alimnyooshea nani.
 
Kuchaguliwa na wananchi ni jambo la muhimu na la msingi tena inapendeza kama hujaiba kura,kuapishwa ni formality tu na procedure ata akiapishwa mwakani mwezi kama ashaanza kuwachimbia visima arumeru bila kuapishwa kwanza anayemuapisha hana moral authority ni sehemu ya waovu wa nchii hii.
 
Mbona hao Magamba wanaapishwa Sana Lakini wanatafuna rushwa kama mchwa kwahiyo kuapishwa sio kitu muhimu sana tunachohitaji ni hoja za msingi naomba wana bodi tuache unafiki tusi mhukumu mtu kwa makosa madogo madogo kama hayo wakati kuna mijitu inapuputisha uchumi wetu lakini tunauchuna
Uko sahihi mkuu! Lakini hizo hoja ametumwa na wananchi kuzitoa na bungeni pia! Kule hawezi kzitoa kama hajaapishwa. Sisi ni lazima tuonyeshe tofauti yetu na hao magamba, na tofauti inaanza kwa kuwa at the right place and at the right time! Kwa vyote vile leo alitakiwa awepo mjengoni na kwakua hatujaambiwa sababu nilazima tuhoji kwanini hayupo mjengoni kutuwakikilisha leo kama tulivyotegemea? Sio dhambi kuhoji!!
 
Ikulu kuna mapepo.source waziri Nyalandu.ok one question to ask ule mkono wa Mudhihir pale mjengoni alimnyooshea nani.
hahahahahahahahahahahahah....aaahhh mkuu kuna watu wameaga sio kukurupuka kwenda mjengoni hukubukiissue ya chengekuwanga bungeni.....
 
ratiba ya bunge inaonesha nassari na mbunge mwingine wa chadema viti maalum wataapishwa kesho.
 
Taarifa za awali alikuwa aapishwe kesho saa tatu asubuhi. Lazini wakaja kubadilisha bila kumjulisha mapema ili ajiandae. Hii ni janja ili wapange siku nyingine kuwachosha wale wote wanaomsindikiza. Magamba hawataki kuona umati mkubwa wa CDM dodoma. MBINU NYINGINE BWANA.........!!!!!!

Mimi nakubali Style ya kwenda kwa maandamano. Ni njia mojawapo ya ku-create awareness kwa wananchi.


probably wana udhuru, so si kila kitu spika aambiwe
 
Serikali yote ipo Leaders Club wanamzika kanumba!!

Rais
Waziri mkuu
Makamu rais
Waziri wa habari na michezo
waziri wa akina mama na watoto
waziri wa afya
mwanasheria mkuu wa serikali
Makamu wa Spika - ndugai


Sasa hapo unataka nini tena kujua serikali hii ni hovyohovyo!!

NB:Mkuu wa kaya yuko shamba kubwa - Serengeti nadhani ndiyo maana makamu wake ndiye anayeongoza hiyo protocol ya serikali! JuSt FYI.
 
Back
Top Bottom