Nini kimempata Nassari?

Nasari ni binaadamu kama wewe nadhani tusimhukumu kwanza tujue ni kwanini hajaingia bungeni maana siyo yeye wa kwanza kutokuingia bungeni siku ya kuapishwa. Hata kama amepatwa na tumbo la kuendesha aingie hivyohivyo bungeni kwasababu ni siku ya kuapishwa?

mkuu haiwezekani wasitokee wote wawili nahisi kama heshima ya bunge inashuka.
 
Kutokuwepo sio issue lakini kushindwa kutoa taarifa ya kutokuwepo huko nadhani ni issue ambayo inahitaji maelezo kutoka kwa JN.
 
kabla ya kulaumu jua chanzo cha tatizo,inabidi kujua kwa nini hawajafika kuliko kupoint finger.

Kama anaumwa au kapata matatizo kuelekea Dodoma au ana sababu ya msingi ya kutofika kwa wakati!
 
kabla ya kulaumu jua chanzo cha tatizo,inabidi kujua kwa nini hawajafika kuliko kupoint finger.

Kama anaumwa au kapata matatizo kuelekea Dodoma au ana sababu ya msingi ya kutofika kwa wakati!

Matatizo yapo lakini pia kuna utaratibu wa kutoa taarifa kwa spika kabla hajaitaja ratiba husika.
 
hamna sheria yoyote ya bunge inayo mfunga coz hajaapa kwa chochote kuhusu bunge. Wampe adhabu kwa makubaliano yapi aliyo sign? je kama hajapewa barua ya mwaliko?
 
Nadhani kuna mawasiliano mabovu kati ya ofisi za bunge na hawa wabunge wateule, na hii kwa sababu bunge limekuwa linaendeshwa kwa style ya zima moto. Hadi tarehe 7 april wakati wanatoa statement ya kikao hiki ofice hii ya bunge hawakuwa na uhakika na hoja binafsi (kama zimatimisha masharti).
 
watanzania wenzangu sito nasari pekee kachelewa bungeni yuko na mwenzie wa ccm lakini hapa tuna msulubisha nasari pekeyake hi si sawa tujirekebishe
 
hamna sheria yoyote ya bunge inayo mfunga coz hajaapa kwa chochote kuhusu bunge. Wampe adhabu kwa makubaliano yapi aliyo sign? je kama hajapewa barua ya mwaliko?
duh, hii kali Barua ya mwaliko tena, si alialikwa na wapiga kura/shahada??
 
huu ni upumbafu wa hali ya juu sana...CHADEMA ni chama changu lakini kuna mambo mnafanya ya kupumbafu sana...NAssari kilichokufanya usiende kuapishwa leo ni nini ?acha ubrazameni bwana
 
Back
Top Bottom