Nini kimempata Mzee Warioba?

Itakuwa kapata Mshtuko kusikia First Gentleman Mzee Hafidh Kavuta,
 
Wakati anaongea pumzi yake ilikuwa inakata taratibu na nilishangaa hakuna aliyekuwa ana notice upumuaji wake. Nilitamani hata kufungua uzi hapa wasaidizi wake wamsaidie
Hana wasaidizi,
Nachelea kusema hata Dereva wake hayuko makini kabisa.
 
Mzee Warioba amedondoka gafla wakati anatoa hotuba yake TCD.

Mungu amsaidie
ok.
pole sana Mzee Warioba.

nadhani hukua umepona vizuri, but by Grace of God, utakua sawa tu soon🐒
 
Sisi wengine tuna zile hisia za ziada. Toka nime notice hadi anaanguka ni muda mfupi ila niliona something is happening
You should have trusted your intuition maybe you would have saved the life of this statesman if any bad thing could happen to him
 
You should have trusted your intuition maybe you would have saved the life of this statesman if any this bad could happen to him
He is Ok!
Najiuliza kwanini hana wasaidizi kabisa?
 
U r stupid

inawezekana uko sahihi, lkn mimi video kama hizo hunipa chills na wala siwezi kuziangalia kwa hiari labda nioone tu bila ya kujua lkn siwezi kuitafuta ...
 
Wakati anaongea pumzi yake ilikuwa inakata taratibu na nilishangaa hakuna aliyekuwa ana notice upumuaji wake. Nilitamani hata kufungua uzi hapa wasaidizi wake wamsaidie
Warioba siyo mara yake kwanza kuanguka. Hata wakati wa kuanza mchakato wa katiba ie ya enzi za Kikwete 2014, alianguka tena. Huwa wanafanya makosa kutokuwa karibu naye anapokuwa jukwaani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…