Nini kimempata Dr. Mwigulu Nchemba?

Siku zote malipo ni hapa hapa dunian, alivomdhalilisha mtoto wa watu kuwa kajiteka, ni swala la mda tuu
Kuna watu akili zenu zilishaganda, sasa kale ndio katukio kazito ka kumsafirisha mtu?

Natamani nikutukane
 
Nyinyi si ndio mnasema dhambi zote husameheka?

Leo jinamizi litamuandamaje bila kikomo?

Ujinga ni kudhani kutenguliwa kwa Mwigulu anarudi kuwa sawa na wewe
 
Anajua alicho kifanya dhamila inamsuta.kuna wakati duniani unaweza watendea wengine ndivyo sivyo lakini kama binadamu mwenye utashi hisia za ndani hukujia uwapo ndotoni unaweza jikuta unatoa machozi.tendeni wema ndugu zangu ss ni wafu watarajiwa.
 
Hata hapa tanzania tunao manabii halisi,kwenda nigeria ni kupoteza muda.
 
Nyinyi si ndio mnasema dhambi zote husameheka?

Leo jinamizi litamuandamaje bila kikomo?

Ujinga ni kudhani kutenguliwa kwa Mwigulu anarudi kuwa sawa na wewe
wapi umeshaiona nukuu yangu ikisema kuwa dhambi zote husameheka ", kama ipo ilete hapa ... mkuu au umelewa nini mchana huu wajua kali ?
 
Nyie toeni hukumu Kama na nyie hamjatolewa hukumu??! .. inaelekea wengine mnaenjoy Kuwaona wengine wakipata madhila,....
 
KARMA is so Lvy n kind.nothing goes for nothing!.. Malipo mengne ni ya 4G tuvumiliane tu huend hicho kikombe kikampungukia
 
aliyotenda kipindi akiwa Top Gun bado yanampa maruweruwe.!

nimeimis ile skafu yake
 
Kila mtu ana matatizo yake, hata jiwe pia anashida zake.
Asante kwa taarifa kuwa ulimwona
 
Njaa mbaya! Kutwa kuchwa huku Tz Alikuwa habanduki Kwa wachungaji! Aliemroga kamwambia joshua ndo nabii! Kaumia!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…