Nini kimeikumba Dar Express?

wewe....!!
 
Kuna za kunyapia nilizipata kutoka ndani kabisa ya family kuwa baada ya Mke wa Bosi Mzee Mremi kufariki,haukupita muda Mzee Mremi akavuta jiko jipya mtoto mbichi hapo ndipo sokomoko la kushuka kwa ubora wa Dar Express lilipoanzia. Watoto wake wanafight sana kuongea na Mzee ili yeye apumzike na wao washike usukani wa kusimamia biashara Mzee anagoma kutokana na ushauri wa mke mpya sababu anajua yeye ndio mnufaika wa moja kwa moja. kwa hiyo watoto wanasubiri Mzee ashindwe kabisa halafu wao ndio waanze upya sababu wana kila resources ya kuifanya kampuni iwe kwenye ubora.
 
Acha unaa wewe,Bombadia kila siku zina ahirisha safari.

Tatizo ni Huyu Mchaga YUDA MREMI hataki kuachana na SCANIA ambayo ni ghali.

Scania Saab Milioni 700

Youtong Mil 170


Saa linganisha hapo
Acha uwongo wewe hakuna yutong ya mil170
 
Kaskazini huwa naenda sana..na gari linaloweza kushindana na hizo nilizotaja ni Dar lux, labda na Ratco tho siionagu ikianzia Dar..mengine yalobaki ni makopo..plus inferior services..
Tahmeed, Marangu coach, Skyline, Kilimanjaro Ngorika saivi kuna abood nae ana vitu balaaaaa
 
Tahmeed, Marangu coach, Skyline, Kilimanjaro Ngorika saivi kuna abood nae ana vitu balaaaaa
Tahmeed gari nzuri za kubahatisha mkuu...unaweza kubahatika kupanda gari mpya..au ukapanda mkokoteni.. But angalia Shabiby na kimbinyiko yeye huwa anabadili gari kila wakati huwezi panda mkokoteni.
Kamanumeshapanda hayo magari ya Dodoma unaweza fananisha vzur na hayo magari uliyomention hapa
 
Aisee hebu funguka vizuri ilikuwaje?
alidhulumu nini?
 
Bahati mbaya sikuwahi ipanda ile Benz.

Ila napenda mtu au mfanyabiashara ambaye yupo Unique kwenye huduma zake.

Inakuwa rahisi kutengeneza loyal customers kwa haraka zaidi.

Sipendi hiyo michina ila kuna wakati najikuta sina jinsi inabidi niipande.
Tatizi basi za mzungu bei, ushuru mkubwa. Yutong f12 plus ni tsh 350 milioni pamoja na ushuru,. Scania marcopolo kuanzia $350000 before tax kama zile za dar express ndiyo maana matajiri wote wanakimbilia basi za mchina.
 
Sifa moja kubwa ya Dar Express sio magari ni aina ya watu wanaopanda magari hayo ni wastaarabu sana,ukizoea panda hilo gari alafu ikatokea umebadirisha ukapanda yakinambazi unaweza data.
 
Kaskazini huwa naenda sana..na gari linaloweza kushindana na hizo nilizotaja ni Dar lux, labda na Ratco tho siionagu ikianzia Dar..mengine yalobaki ni makopo..plus inferior services..
Unajua gharama ya lile ninja la Dar exp ni sawa na hizo kimbinyiko,au shabiby Everton ngapi,
 
Wayapole tu si ya babayao,haina haja ya kusubiri brand inakufa !!! wanaangalia tu!!! ushindani ni mwingi hivi sasa wakishapotea kabisa hawarudi tena hawa,mzee nae akubali kuachia damu mpya yy washindani wake walikuwa wenye mabasi ya sabena huko,akubali kukaa pembeni
 
Shabiby
Kimbinyiko
ABC

Japo wana mabasi ya kichina ila wapo vizuri sana kuliko mabasi yote ya kaskazini.

Naongea hivi kwasababu nimepanda mabasi haya na yale ya kaskazini.
Happy nation
Marangu coach
Extra luxury coach
Masalu
Kidia one
Machame
Shabiby
Abood
Bm
Lim safar
Esther
Tirisho
Mghamba
Mbaz
Isamillo
Dar lux

Na hzo ni baadhi ya basi zinazokuja kaskazin kutoka mikoa mbali mbali na hzo ni sem luxury na luxury sijaweka ordinary....
 
Kaskazini huwa naenda sana..na gari linaloweza kushindana na hizo nilizotaja ni Dar lux, labda na Ratco tho siionagu ikianzia Dar..mengine yalobaki ni makopo..plus inferior services..
Hakuna ratico ya dar arusha umebugi na nikujuze 2 unaijua
Tahmmed
Masalu
Marangu coach
Extra luxuly
Kidia one
Machame
Happy nation

Achana na hvyo vyuma hzo zote ni pamba
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…