Nini Kiliwapata Dinosaurs

Nini Kiliwapata Dinosaurs

plan z

JF-Expert Member
Joined
Jun 10, 2019
Posts
1,395
Reaction score
1,439
Hi Guys!

Huu ni kama mwendelezo wa kuwachambua hawa Dinosaurs viumbe ambao waliwahi kuitawala dunia miaka mingi iliyopita.

Katika post iliyopita inayowahusu hawa viumbe nilieleza tabia zao na jinsi walivyoishi na kuitawala dunia. Hata Dragons hawakuweza kufua dafu kwao. Dunia ilikuwa kama mbingu kwao. Pia katika posti iliyopita kuwahusu hawa viumbe nilichanganya sayansi kidogo na maandiko ya Biblia kidogo yanazungumziaje.

Katika hii post ya leo sitagusia tena maandiko kwani niligusia awali. Leo nitagusia mabaki ya vitu vilivyokutwa duniani ndipo tukapata picha ya viumbe hao kuwa waliwahi kuwepo katika uso wa dunia.

Binadamu katika uso wa dunia hatuna miaka mingi, hatujafikisha miaka 7000. Ila ni ukweli usiopingika dunia ina miaka mingi zaidi ila tusilolijua mpaka leo ni kwamba kabla ya sisi nini kilikuwepo duniani.

Mabaki namba moja ambayo tumeyakuta duniani ni mifipa ya Dinosaurs na picha za Dinosaurs ziliwa zimejichora automatically kwenye miamba. Kwa mujibu wa Carbon 14, kifaa kinachokadiria umri wa mifupa kifaa hicho kilisoma ni miaka million 68 iliyopita, mifupa mingine ilisomeka iliexist miaka million 99 iliyopita. Hiyo ni kwa mujibu wa hicho kifaa.

Kitu kingine tulichokikuta ni a 15km Chicxulub asteroid. Hiki ni kimondo nacho kilisomeka kilitua miaka million 66 iliyopita.

Kwa mujibu wa wanasayansi. Mifupa 1500 ya Dinosaurs ilipatikana duniani. Hivyo inadhaniwa kimondo hicho walichokipa jina la Chicxulub kilipotua joto la dunia lilipanda mpaka 150°C na kila kuimbe kilichokuwa 800km karibu kiliangamia. Na waliosaliwa walikufa kwa njaa kwa sababu ya joto kupanda hakuna mimea iliyostawi.

Waliosalia walikula wenzao na mwishowe wakamalizika wote. Dunia ikabaki kama sayari zingine. Hadi pale Mungu alipoamua kuifanya upya tena na sisi tukaletwa duniani.

View attachment:

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Dinosaurs walimalizwa na asteroid, sisi binadamu tusipokua makini tutamalizwa na virus. Basi tu tuna bahati hatujapata virus mix ya ebola na corona, ikitokea hiyo tunaweza isha wote, yaani ile inakaa mwilini hata wiki mbili bila dalili zozote alafu ikipiga inapiga ka ebola unakufa fasta. Nyingi zilizotupata dalili zinajionyesha mapema ka ebola inakua rahisi kuisolate au kama dalili hazijionyeshi ka corona basi inaua wachache. Tunavyozidi kuinteract na wanyama wa pori ipo siku tutakutana na remix ya namna hii mziki utakaofata hapo ni balaa
 
Unasema kua watu katika uso wa dunia hatujazidi miaka 7000 halafu hapo hapo umesema kwa mujibu wa sayansi kupitia kipimo cha carbon 14 wame-observe kua hao dinosaur waliwahi kuwepo miaka milion 68 iliyopita

Sasa inamaana huamini tafiti zilizotolewa na sayansi kwa mujibu wa kipimo cha carbon 14 kua mtu wa kwanza aliishi miaka milion 3 iliyopita?

Kama unakubaliana na tafiti hiyo, utasemaje kua watu hawajawahi kuwepo kwenye usonwa dunia kwa miaka 7000?

Kama hukubaliani na hiyo tafiti inamaana unapingana kua hiyo carbon 14 imedanganya?

na vipi kuhusu majibu yaliyotolewa kwenye utafiti kuhusu dinosaur kupitia carbon 14 kivipi yawe sahihi wakati kuna majibu yaliyotolewa kupitia kipimo hicho hicho huyakubali?
 
Hi Guys!

Huu ni kama mwendelezo wa kuwachambua hawa Dinosaurs viumbe ambao waliwahi kuitawala dunia miaka mingi iliyopita.

Katika post iliyopita inayowahusu hawa viumbe nilieleza tabia zao na jinsi walivyoishi na kuitawala dunia. Hata Dragons hawakuweza kufua dafu kwao. Dunia ilikuwa kama mbingu kwao. Pia katika posti iliyopita kuwahusu hawa viumbe nilichanganya sayansi kidogo na maandiko ya Biblia kidogo yanazungumziaje.

Katika hii post ya leo sitagusia tena maandiko kwani niligusia awali. Leo nitagusia mabaki ya vitu vilivyokutwa duniani ndipo tukapata picha ya viumbe hao kuwa waliwahi kuwepo katika uso wa dunia.

Binadamu katika uso wa dunia hatuna miaka mingi, hatujafikisha miaka 7000. Ila ni ukweli usiopingika dunia ina miaka mingi zaidi ila tusilolijua mpaka leo ni kwamba kabla ya sisi nini kilikuwepo duniani.

Mabaki namba moja ambayo tumeyakuta duniani ni mifipa ya Dinosaurs na picha za Dinosaurs ziliwa zimejichora automatically kwenye miamba. Kwa mujibu wa Carbon 14, kifaa kinachokadiria umri wa mifupa kifaa hicho kilisoma ni miaka million 68 iliyopita, mifupa mingine ilisomeka iliexist miaka million 99 iliyopita. Hiyo ni kwa mujibu wa hicho kifaa.

Kitu kingine tulichokikuta ni a 15km Chicxulub asteroid. Hiki ni kimondo nacho kilisomeka kilitua miaka million 66 iliyopita.

Kwa mujibu wa wanasayansi. Mifupa 1500 ya Dinosaurs ilipatikana duniani. Hivyo inadhaniwa kimondo hicho walichokipa jina la Chicxulub kilipotua joto la dunia lilipanda mpaka 150°C na kila kuimbe kilichokuwa 800km karibu kiliangamia. Na waliosaliwa walikufa kwa njaa kwa sababu ya joto kupanda hakuna mimea iliyostawi.

Waliosalia walikula wenzao na mwishowe wakamalizika wote. Dunia ikabaki kama sayari zingine. Hadi pale Mungu alipoamua kuifanya upya tena na sisi tukaletwa duniani.

View attachment:

Sent using Jamii Forums mobile app

Sayansi fiction ,
Una maana na sisi binadamu tutamalizwa na COVID ?
Ili dunia nayo ibakie pweke kama enzi za hawo jamaa?
 
Majibu ya hicho kipimo sina uhakika nayo kwa asilimia 100% ila kutokana na kuwa hakuna mwenye uhakika halisi wa muda. Historia imerekodi muda kulingana na hicho kifaa kilivyotoa majibu yake.
Unasema kua watu katika uso wa dunia hatujazidi miaka 7000 halafu hapo hapo umesema kwa mujibu wa sayansi kupitia kipimo cha carbon 14 wame-observe kua hao dinosaur waliwahi kuwepo miaka milion 68 iliyopita

Sasa inamaana huamini tafiti zilizotolewa na sayansi kwa mujibu wa kipimo cha carbon 14 kua mtu wa kwanza aliishi miaka milion 3 iliyopita?

Kama unakubaliana na tafiti hiyo, utasemaje kua watu hawajawahi kuwepo kwenye usonwa dunia kwa miaka 7000?

Kama hukubaliani na hiyo tafiti inamaana unapingana kua hiyo carbon 14 imedanganya?

na vipi kuhusu majibu yaliyotolewa kwenye utafiti kuhusu dinosaur kupitia carbon 14 kivipi yawe sahihi wakati kuna majibu yaliyotolewa kupitia kipimo hicho hicho huyakubali?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ndio mkuu 100% chai chai nyingi hasa kwa vitu ambavyo hatukuviona ni assumptions tu.
Electrons hatuzioni, electromagnetic waves hatuzioni ila we unatumia smartphone leo kuwasiliana na mtu aliyepo sehemu yoyote duniani. Kutokuonekana haimaanishi kitu hakipo kama proof tunayo. Huamini sayansi nenda kaishi msituni.
 
Mkuu hizo assumptions ndio zimetufikisha hapa..mpka mda huu tunachat hapa hata hatuonani ni kwa sababu ya hiyo science
Bora assumptios hizi ni real unaziona kuliko hizo za miaka milioni 99 iliyopita tunaambiwa kulikuwa na dayanasori.
 
Electrons hatuzioni, electromagnetic waves hatuzioni ila we unatumia smartphone leo kuwasiliana na mtu aliyepo sehemu yoyote duniani. Kutokuonekana haimaanishi kitu hakipo kama proof tunayo. Huamini sayansi nenda kaishi msituni.
Siamini sayansi ya kusadikika mkuu na sio hii realistic ambayo tunaiona na kuiexperience.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom