Nini Kiliwapata Dinosaurs

Nini Kiliwapata Dinosaurs

Siamini sayansi ya kusadikika mkuu na sio hii realistic ambayo tunaiona na kuiexperience.
Ya kusadikika ni ipi? Dinosaurs proof tunayo.
Electrons ni sayansi ya kusadikika, hatujawahi ona electrons ila tunapima na kuja na conclusion kua zipo. Same as vitu vingi ambavyo sayansi inasema vipo lakini hatujaviona, sababu evidence inakubali kua vipo
 
Proof ipo, ukiicheki hiyo video niliyoweka link hapo juu mwishoni mwishoni mwa video hiyo utaona watafiti wakiifukua mifupa ya Dinasours. Then ukimaliza ndo uje useme sasa hakuna proof.
Proof ipi hiyo ya dinosaurs? Mjusi wa ujerumani au? Je unaamini binadamu wa kwanza alikuwa nyani kama wazungu wanavyotuambia kwenye sayansi?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Napingana na hii nadharia mkuu!
ngoja nikafanye meditation nitarudi kwa hoja binafsi
 
Unasema kua watu katika uso wa dunia hatujazidi miaka 7000 halafu hapo hapo umesema kwa mujibu wa sayansi kupitia kipimo cha carbon 14 wame-observe kua hao dinosaur waliwahi kuwepo miaka milion 68 iliyopita

Sasa inamaana huamini tafiti zilizotolewa na sayansi kwa mujibu wa kipimo cha carbon 14 kua mtu wa kwanza aliishi miaka milion 3 iliyopita?

Kama unakubaliana na tafiti hiyo, utasemaje kua watu hawajawahi kuwepo kwenye usonwa dunia kwa miaka 7000?

Kama hukubaliani na hiyo tafiti inamaana unapingana kua hiyo carbon 14 imedanganya?

na vipi kuhusu majibu yaliyotolewa kwenye utafiti kuhusu dinosaur kupitia carbon 14 kivipi yawe sahihi wakati kuna majibu yaliyotolewa kupitia kipimo hicho hicho huyakubali?
Mi amenichanganya aliposema ILIJICHORA AUTOMATiCALLY...naogopa kumuuliza
 
Hi Guys!

Huu ni kama mwendelezo wa kuwachambua hawa Dinosaurs viumbe ambao waliwahi kuitawala dunia miaka mingi iliyopita.

Katika post iliyopita inayowahusu hawa viumbe nilieleza tabia zao na jinsi walivyoishi na kuitawala dunia. Hata Dragons hawakuweza kufua dafu kwao. Dunia ilikuwa kama mbingu kwao. Pia katika posti iliyopita kuwahusu hawa viumbe nilichanganya sayansi kidogo na maandiko ya Biblia kidogo yanazungumziaje.

Katika hii post ya leo sitagusia tena maandiko kwani niligusia awali. Leo nitagusia mabaki ya vitu vilivyokutwa duniani ndipo tukapata picha ya viumbe hao kuwa waliwahi kuwepo katika uso wa dunia.

Binadamu katika uso wa dunia hatuna miaka mingi, hatujafikisha miaka 7000. Ila ni ukweli usiopingika dunia ina miaka mingi zaidi ila tusilolijua mpaka leo ni kwamba kabla ya sisi nini kilikuwepo duniani.

Mabaki namba moja ambayo tumeyakuta duniani ni mifipa ya Dinosaurs na picha za Dinosaurs ziliwa zimejichora automatically kwenye miamba. Kwa mujibu wa Carbon 14, kifaa kinachokadiria umri wa mifupa kifaa hicho kilisoma ni miaka million 68 iliyopita, mifupa mingine ilisomeka iliexist miaka million 99 iliyopita. Hiyo ni kwa mujibu wa hicho kifaa.

Kitu kingine tulichokikuta ni a 15km Chicxulub asteroid. Hiki ni kimondo nacho kilisomeka kilitua miaka million 66 iliyopita.

Kwa mujibu wa wanasayansi. Mifupa 1500 ya Dinosaurs ilipatikana duniani. Hivyo inadhaniwa kimondo hicho walichokipa jina la Chicxulub kilipotua joto la dunia lilipanda mpaka 150°C na kila kuimbe kilichokuwa 800km karibu kiliangamia. Na waliosaliwa walikufa kwa njaa kwa sababu ya joto kupanda hakuna mimea iliyostawi.

Waliosalia walikula wenzao na mwishowe wakamalizika wote. Dunia ikabaki kama sayari zingine. Hadi pale Mungu alipoamua kuifanya upya tena na sisi tukaletwa duniani.

View attachment:


Sent using Jamii Forums mobile app

Weka link ya thread kabula ya hii
 
Proof ipo, ukiicheki hiyo video niliyoweka link hapo juu mwishoni mwishoni mwa video hiyo utaona watafiti wakiifukua mifupa ya Dinasours. Then ukimaliza ndo uje useme sasa hakuna proof.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuuu bado unaamini movie za wazungu za kufukua mifupa? Achana na movie hizo zinatengenezwa!!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom