Nini Kiliwapata Dinosaurs

Nini Kiliwapata Dinosaurs

Nikweli kuna viumbe vingi vimepotea.
Wakati huamua hivyo.zamani watu walikuwa warefu kama nusu uwanja mfano Goliath,Leo hizo species zimwpotea
 
Nikweli kuna viumbe vingi vimepotea.
Wakati huamua hivyo.zamani watu walikuwa warefu kama nusu uwanja mfano Goliath,Leo hizo species zimwpotea
 
Mzee kwa miaka yako 30 hiyo unataka uwe umeona kila kitu..?
Hapana mkuu Andakava Ego Sirii sio lazima tuone kila kitu ila hata wakileta ngonjera ziwe na uhalisia kwa mfano hata ukiambiwa wajerumani au waarabu walikaa zanzibar miaka ya 1820 huko na ukija kuangalia magofu yapo waliyoyaacha yanaonekana au ukiambiwa kulikuwa na vita ya maji maji au kulikuwa na kina isike au mkwawa ukienda kuangalia familia yao ipo au ukisikia historia ya kleruu na mamwindi hata kama haujakuwepo lakini trace zake za uhakika zipo ila issue za dayanasori ni tantalila tu hakuna uhalisia wowote zaidi ya kutaka kupiga fedha tu za utafiti.
 
Savimbi Jr, ni vema unashughulisha ubongo wako ili kujiridhisha... lakini mabaki ya mifupa ya dinosaurs yapo labda suala ni waliishi lini ila waliwahi kuishi duniani.
 
Savimbi Jr, ni vema unashughulisha ubongo wako ili kujiridhisha... lakini mabaki ya mifupa ya dinosaurs yapo labda suala ni waliishi lini ila waliwahi kuishi duniani.
Sasa unataka kuniambia TZ nzima aliishi Dayanasori mmoja tu ambaye mifupa yake imepelekwa UJERUMANI? Kwa mfano Tembo miaka ijayo watapotea nina imani vizazi vijavyo hawatakuja kuwaona ila watawaona kupitia Archives(Video) ila movie za DAYANASORI ni fiction tu sio mnyama halisi ndio maana inakuwa ngumu sana kuamini uwepo wa dayanasori.
 
SAYANSI BANA INAZINGUA WAKATI MWINGINE HIVI NI NANI ALIKUWEPO WAKATI HAYO YANATOKEA?!
Kulingana na vipimo vyao (Carbon dating), then wanatumia uzoefu wao kutengeneza upya mazingira (scenario) ambayo ilisababisha kitu fulani kutokea
 
Hi Guys!

Huu ni kama mwendelezo wa kuwachambua hawa Dinosaurs viumbe ambao waliwahi kuitawala dunia miaka mingi iliyopita.

Katika post iliyopita inayowahusu hawa viumbe nilieleza tabia zao na jinsi walivyoishi na kuitawala dunia. Hata Dragons hawakuweza kufua dafu kwao. Dunia ilikuwa kama mbingu kwao. Pia katika posti iliyopita kuwahusu hawa viumbe nilichanganya sayansi kidogo na maandiko ya Biblia kidogo yanazungumziaje.

Katika hii post ya leo sitagusia tena maandiko kwani niligusia awali. Leo nitagusia mabaki ya vitu vilivyokutwa duniani ndipo tukapata picha ya viumbe hao kuwa waliwahi kuwepo katika uso wa dunia.

Binadamu katika uso wa dunia hatuna miaka mingi, hatujafikisha miaka 7000. Ila ni ukweli usiopingika dunia ina miaka mingi zaidi ila tusilolijua mpaka leo ni kwamba kabla ya sisi nini kilikuwepo duniani.

Mabaki namba moja ambayo tumeyakuta duniani ni mifipa ya Dinosaurs na picha za Dinosaurs ziliwa zimejichora automatically kwenye miamba. Kwa mujibu wa Carbon 14, kifaa kinachokadiria umri wa mifupa kifaa hicho kilisoma ni miaka million 68 iliyopita, mifupa mingine ilisomeka iliexist miaka million 99 iliyopita. Hiyo ni kwa mujibu wa hicho kifaa.

Kitu kingine tulichokikuta ni a 15km Chicxulub asteroid. Hiki ni kimondo nacho kilisomeka kilitua miaka million 66 iliyopita.

Kwa mujibu wa wanasayansi. Mifupa 1500 ya Dinosaurs ilipatikana duniani. Hivyo inadhaniwa kimondo hicho walichokipa jina la Chicxulub kilipotua joto la dunia lilipanda mpaka 150°C na kila kuimbe kilichokuwa 800km karibu kiliangamia. Na waliosaliwa walikufa kwa njaa kwa sababu ya joto kupanda hakuna mimea iliyostawi.

Waliosalia walikula wenzao na mwishowe wakamalizika wote. Dunia ikabaki kama sayari zingine. Hadi pale Mungu alipoamua kuifanya upya tena na sisi tukaletwa duniani.

View attachment:

Sent using Jamii Forums mobile app
Na hivo ndio mfano wa binadamu tutakavo Isha ktk uso wa dunia, it will come a disaster ambayo itapoteza uhai ktk uso wa dunia
 
Ebu weka proof goliath alikuwa mrefu kama nusu uwanja.

According to Bible, kwa makadirio urefu wa Goliath unachezea kama cm 500 hadi 600. Mimi na urefu wangu wa Cm 183 kwake naingia mara tatu au mbili na nusu, hapo bado upana wake maana hakuwa kimbao mbao alikuwa ni jitu kweli kweli, mkuki wake na zana zake za vita alichongewa special zinazoendana na yeye.

Kwahiyo lilikuwa likitokezea tu hivi, waisraeli wote wakiliona wanajaa upepo.

Goliathi naye alikuwa mfupi ukilinganisha na majitu yaliyokuwepo kabla ya gharika, walikuwa wakiitwa wanefili wametajwa kwa ufupi sana kwenye kitabu cha Mwanzo, hayo majitu ndo yalikuwa yanatawala ulimwengu wa wakati huo, yalitokana na malaika waliokuja kuzaa na wanadamu, sijui hao malaika walikuja kupewa adhabu gani na Mungu.

Mpango wa Mungu kwenye Gharika ilikuwa ni kuangamiza waovu na hayo majitu, japo inasadikika kuna jitu lilibaki liliitwa Ogu ambaye alikuja kuwa mfalme wa Bashani, naye ametajwa kwa ufupi kwenye Biblia na inasemekana aliishi miaka mingi sana, sasa sijui lilikuwa lirefu kiasi gani hadi likapona gharika.

Kwahiyo Goliath ni mbegu iliyochipua tu likawa jitu. Kwenye genetics hiyo inaitwa rececive character hiyo inakuwa ipo tu lakini haitokei kwa wingi, ndio maana hata sasa kuna lile jamaa mrefu wa dunia aliyefanyiwa operation asirefuke tena ambaye urefu wake ni cm 251 na yule ni mwembamba, imagine angekuwa mnene halafu asiwe na matatizo ya mguu aliyonayo angekuwa jitu kiasi gani, lakini huyo ni kama nusu ya urefu wa Goliath.
 
Hapana mkuu Andakava Ego Sirii sio lazima tuone kila kitu ila hata wakileta ngonjera ziwe na uhalisia kwa mfano hata ukiambiwa wajerumani au waarabu walikaa zanzibar miaka ya 1820 huko na ukija kuangalia magofu yapo waliyoyaacha yanaonekana au ukiambiwa kulikuwa na vita ya maji maji au kulikuwa na kina isike au mkwawa ukienda kuangalia familia yao ipo au ukisikia historia ya kleruu na mamwindi hata kama haujakuwepo lakini trace zake za uhakika zipo ila issue za dayanasori ni tantalila tu hakuna uhalisia wowote zaidi ya kutaka kupiga fedha tu za utafiti.

Babu mifupa ya dinosours kwa ukubwa wake ipo.
 
Unasema kua watu katika uso wa dunia hatujazidi miaka 7000 halafu hapo hapo umesema kwa mujibu wa sayansi kupitia kipimo cha carbon 14 wame-observe kua hao dinosaur waliwahi kuwepo miaka milion 68 iliyopita

Sasa inamaana huamini tafiti zilizotolewa na sayansi kwa mujibu wa kipimo cha carbon 14 kua mtu wa kwanza aliishi miaka milion 3 iliyopita?

Kama unakubaliana na tafiti hiyo, utasemaje kua watu hawajawahi kuwepo kwenye usonwa dunia kwa miaka 7000?

Kama hukubaliani na hiyo tafiti inamaana unapingana kua hiyo carbon 14 imedanganya?

na vipi kuhusu majibu yaliyotolewa kwenye utafiti kuhusu dinosaur kupitia carbon 14 kivipi yawe sahihi wakati kuna majibu yaliyotolewa kupitia kipimo hicho hicho huyakubali?
Kijana jaribu kuwa muelewa anamaanisha watu ndio hawakuzidi miaka 7000 ila viumbe vingine na dunia ilikuwepo tangu miaka millions iliyopita ok
 
Kijana jaribu kuwa muelewa anamaanisha watu ndio hawakuzidi miaka 7000 ila viumbe vingine na dunia ilikuwepo tangu miaka millions iliyopita ok
we ndo hujaelewa

Takwimu za kuhusu dinosar ku exist miaka hiyo amepata kupitia carbon 14 iliyopima masalia ya viumbe hao

Lakini nani asiyejua kua kupitia hiyo hiyo carbon 14 tumeweza kugundua mtu wa kale aliishi miaka milion 3 iliyopita?

Sasa mdau anakubali majibu ya dinosar kua ndio ya kweli ila majibu ya kuhusu existence ya mtu kwa zaidi ya miaka hiyo anaipinga wakati majibu yote yamepatikana kwenye kipimo kimoja

Hoja ni kwamba

Kama mtu wa kale hakuwepo miaka 7000 iliyopita basi ni lazima atakuwa hakubaliani na usahihi wa kipimo cha carbon 14 kwamba sio cha kuaminika na hakitoi majibu sahihi, na hapo unabidi uje na kipimo chako

Lakini hata ukisema dinosar walikuwepo miaka hiyo na umejua hilo kupitia carbon 14, bado utakuwa unaji contradict kwasababu njia potofu haiwezi kukupeleka kwenye jibu zuri
 
Lakini inakuwaje kama haya maswala ya mungu na shetani yakiwa ni mythical things???

Kama ni mythical things, endelea kusubiri Covid iangamize dunia yote.
 
we ndo hujaelewa

Takwimu za kuhusu dinosar ku exist miaka hiyo amepata kupitia carbon 14 iliyopima masalia ya viumbe hao

Lakini nani asiyejua kua kupitia hiyo hiyo carbon 14 tumeweza kugundua mtu wa kale aliishi miaka milion 3 iliyopita?

Sasa mdau anakubali majibu ya dinosar kua ndio ya kweli ila majibu ya kuhusu existence ya mtu kwa zaidi ya miaka hiyo anaipinga wakati majibu yote yamepatikana kwenye kipimo kimoja

Hoja ni kwamba

Kama mtu wa kale hakuwepo miaka 7000 iliyopita basi ni lazima atakuwa hakubaliani na usahihi wa kipimo cha carbon 14 kwamba sio cha kuaminika na hakitoi majibu sahihi, na hapo unabidi uje na kipimo chako

Lakini hata ukisema dinosar walikuwepo miaka hiyo na umejua hilo kupitia carbon 14, bado utakuwa unaji contradict kwasababu njia potofu haiwezi kukupeleka kwenye jibu zuri

Sijajicontradict nimesema sina imani na kipimo hicho kwa sababu historia ya mwanadamu inajulikana haijavuka miaka 7000, pia nikasema kipimo hicho kimeonyesha dinosour walikuwepo miaka billion 68 iliyopita, kwa kuwa hatukuwepo hatuwezi kubishana japo hatukubali kama kipimo hicho kimekadiria hiyo miaka vizuri.
 
Una maanisha kujulikana kwa namna gani naposema "sababu historia ya mwanadamu inajulikana haijavuka miaka 7000"

Afu unasema dinosaur walikuwepo miaka bilion 68 iliyopita, na wakati ulimwengu una umri wa miaka bilion 14, sasa hao dinosaur walikuwa wakiishi wapi?
 
Back
Top Bottom