Nini kilisababisha u-cheat?

Zipo sababu nyingi zinazosababisha watu ku-cheat.
Binafsi sababu hii ndo ilinisababishia ... alikuwa kila muda ananiambia kauli hii hadi ikazoeleka na mwisho nikaifanyia kazi
"Kama unataka kuoa nambie nikutafutie au ukipata usikose kunijulisha"
.
 
Kutokuwa na tamaa na kitu kizuri ambacho unaweza kukipata hilo nalo ni tatizo kubwa
Kitu kizuri n mke wako au mume wako...kwa nn usiwe na tamaa kwake ukatafute kwingine? Ku-cheat n kujiendekeza na tamaa za kipuuzi
 
Mimi nilikuwa naogopa kufeli mitihani, hasa hesabu! Nikawa naingia na vinondo kwenye mtihani
 
Naongeza idadi ya makoloni.yupo aziza, fatuma, rubby.acha wa juu kwa juu.
 
Wao wengi (ke) sisi wachache (me) - hivyo ku-cheat ni kubalance mahesabu tu. Wala hakuna zaidi ya hilo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…