NIMPENDENANI
JF-Expert Member
- Nov 2, 2014
- 6,114
- 5,398
Kweli ni upopoma uliotukuka, mi alikuwa ananiropokea si kuna wanawake wengine huko kwani lazima mie kila siku, ikabidi nisimuangushe katika hilo nikajikamatia mama ya kando!
Ha ha ha ha yani hatari sana, maana alikuwa anaabudu kazi kuliko maisha mengine nikaona sio kesi!Kwa hiyo kauli mkuu mm siku hiyo hiyo ningemletea mwenzie. Inaonekana alikuwa anaringa sana kutokana unampemda so akaona hata akifanya hivyo huna pa kwenda.
Yaan hapo unaenda kutafuta kisu kikali zaod yake, unakitafutana. Halafu unahakikisha anajua ili jeuri yake iishe.
Unakosea saana unapoiita hiyo tabia tamaa. Sio tamaa mkuu. Ni asili tuuNinavyojua kucheat kuna sababu mbili? Ya kwanza ni wahusika kukosa wanachokitaka kwenye mahusiano au ndoa, cha pili ni tamaa( tabia chafu).
Nature inaplay wapi?
Basi acha nikubali hongera maana nawafaidi sana warembo na nafurahia hilo pia. [emoji23][emoji23]Ndio maana kama hiyo kitu iko kwenye damu unadhani nini kinafuata zaidi ya hongera rafiki?
Maana hata pole bado haisaidii ikiwa hamuoni kama si jambo zuri.
Kweli haisimamishiki, ukilazimisha unajikuta unaumia tena wewe mwenyeweNothing can stop necha
Kwa mfano Nikimtia vidole tu nitakuwa nimecheat?Kutembea nje ya ndoa / mpenzi wako.
Hawajui tuu, kuna kipindi wife alifululiza hadi michepuko nikawa naikwepa, saa ingine gemu ugenini mchana usiku home.If my wife does this to me i will start cheating no doubt, kuna mpenzi wangu alishawahi kunifanyia visa vya hivi nikatafuta new edition inayonipa huduma on Demand!
Sio siri mchepuko unanoga sana, laiti wake zetu wangejua kuwa kubana kwao mapaja ndio sababu ya Real G's wengi kucheat wangekuwa wanatupa K bila masharti asilimia za furaha kwenye ndoa zingekuwa nyingi mno licha ya makelele ila when it comes to sex wajitume haswa kutupa relaxation na kutusahaulisha kero zote ingekuwa raha sana!
Huwezi kukurupuka; unajipa muda kwanza; unajipa na kumtafuta yule wa kukutuliza kiasi kwamba hujutii kuwa naye! Baada ya muda majibu utayapata! Hiyo ndo dawa!Kwa hiyo kauli mkuu mm siku hiyo hiyo ningemletea mwenzie. Inaonekana alikuwa anaringa sana kutokana unampemda so akaona hata akifanya hivyo huna pa kwenda.
Yaan hapo unaenda kutafuta kisu kikali zaod yake, unakitafutana. Halafu unahakikisha anajua ili jeuri yake iishe.
Hawajui tu, hata ujizuie vipi huwezi, unaweza hisi mgonjwa kwa kukosa gemu za ugeniniUnakosea saana unapoiita hiyo tabia tamaa. Sio tamaa mkuu. Ni asili tuu
Sijui ila nikikosa gemu za ugenini nahisi naumwaAu kwa sababu ni msingi wa maisha ya KAWAIDA?
Unakosea saana unapoiita hiyo tabia tamaa. Sio tamaa mkuu. Ni asili tuu
Ha ha ha ha yani hatari sana, maana alikuwa anaabudu kazi kuliko maisha mengine nikaona sio kesi!
Uko sawa kabisa; tukijenga utaratibu wa kufanya mambo kwa sababu maalumu naamini tabia zetu zitabadilika na kuwa kwenye ustaarabu.Nope ni tamaa. Binafsi ujana wangu huu nimepitia vingi. Ikiwa na hiyo tabia ya kucheat. Ila niliweza kugundua ujinga huo nikaacha hiyo tabia sababu ni upotevu wa muda na rasilimali nilizokuwa nazo.
Hii kitu kama ingekuwa asili nisingeweza acha. Ila sababu ni kwa upande wako sawa.
Hatuwez kuwa sawa.. ila tabia inajengwa na mazoea, kidogo kidogo inakuwa tabia.. the inakuwa sugu