Nini kilipelekea mpaka ukajiunga katika jukwaa la jamii forums?

Nini kilipelekea mpaka ukajiunga katika jukwaa la jamii forums?

Wakuu,
Kila mmoja wetu humu jukwaani ana stori yake ya kuvutia,kusisimu na kushangaza ya kwa nini alijiunga jf!

Wapo waliovutiwa na stories za mapenzi,siasa,michezo nk.

Kwa upande wangu stori yangu iliyosababisha nikajiunga kujiunga jf ni ndefu ila ya kuvutia,niliwahi kumsimulia mshamba_hachekwi katika uzi flani,atakuja asimulie hapa.

Dondosha chanzo cha wewe kujiunga jf.
1; Upatikanaji wa habari za uhakika na kwa haraka zaidi.
2; Mada alizokuwa akitoa billionaire KIDUKU LILO.
3; Mada za Mshana Jr
4; Mada za kitekinolojia.
 
Wakuu,
Kila mmoja wetu humu jukwaani ana stori yake ya kuvutia,kusisimu na kushangaza ya kwa nini alijiunga jf!

Wapo waliovutiwa na stories za mapenzi,siasa,michezo nk.

Kwa upande wangu stori yangu iliyosababisha nikajiunga kujiunga jf ni ndefu ila ya kuvutia,niliwahi kumsimulia mshamba_hachekwi katika uzi flani,atakuja asimulie hapa.

Dondosha chanzo cha wewe kujiunga jf.
Upumbavu wa Serikali ya CCM
 
Just enjoy jf content and stories
 
Nimeifahamu jf toka nipo shule ya msingi kule kivinje..
Kipindi hiko natumia free basic alafu nina kiswaswadu...

Nilikua naingia kwenye ule uzi wa picha za vichekesho sijui....

But kujiunga rasmi nilijiunga baada ya kuvutiwa na huyu mwamba wa physics afrika masharik na kati Baba Swalehe...

Kwa kuwa physics ndo alikua kama mtu wangu wa karibu kipindi hiko nikaona bora niingie deep huku.

Lakini pia kipindi hiko nilikua navutiwa sana na mada za kule jamii intelligent ambako kuna mada nilikuta ipo hot sana ile ""proof binadamu katengenezwa na allien"" pale kuna jamaa anaitwa lifecode huyu jamaa alikua hatarii mnooo

Huku na kule nikawa navutiwa sana na mada za Kiranga the unorthodox kipindi hiko jamaa alikua ajajikita sana kwenye kumkataa Mungu ila alikua mtu wa kuchangia kuhusu science mambo ya physics nikasema lazima nijiunge...

Hao niliowataja ndio walikua main character wa kufanya mimi niwe hapa leo....

Lakini mwaka 2021 nikaanza rasmi kupenda mashangazi hapo nikawavutia mashangazi kama wawili kuanza kufatilia huu mtandao na wale mbwa wakajiunga bila hata kunipa username zao i don't know sijui kwanini walifanya vile....
Thank you but I am a medical personnel thank you
 
Niliona tangazo facebook kuwa kuna shindano la Stories of change na napenda kuandika na napenda prize na huwezi kushiriki mpaka uwe na account hivyo nikafangua, sasa nikawa nakuja kuangalia andiko linaendeleaje ndio nikaanza kuona content nzuri nikaamua niwe active member rasmi
 
sasa kijana na ww umekua JF EXPERT MEMBER?
 
Ninazaidi ya miaka kumi ya kutembelea Jf ila leo nimeona nijiunge kabisa, sababu ni habari mbalimbali, sasa nami nimeona niwe nachangia mada
 
JF nimeijulia mwaka jana nikiwa kwenye harakati za kusearch Riwaya za Kijajusi...Sasa wiki hii ndio nikaona nijiunge mazima
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom