Elections 2010 Nini Kilimsibu?

Ana HIV, sasa kuna madawa anatumia ambayo anapaswa ale kabla ya kunywa dawa sasa kutokana na ubishi wake akakataa ndiyo maana akaanguka hata hivyo usishituke mganga wake jana katoa taarifa rasmi kwamba siyo ngoma ni amerogwa ndiyo maana alianguka na amemhakikishia usalama yaani hata anguka tena...binafsi Natamani azimie akiwa USA kule kwenye jimbo lake nsikia hato safiri miezi mitatu duuuuh wata m-miss....
Au Jamaica akibembea, anahatari sana huyu mzee anajua afya yake si swali lakini haachi kubembea!!
 
Alilogwa na sheikh yahaya, na kamwambie asijaribu tena. Sasa hivi tumemwombea analindwa na nguvu za mungu.akimjaribu tena atakiona toka kwa muungu.
 
Eid Mubarak wanaharakati na wakereketwa wenzangu na marafiki zangu.Ndugu tumsifu Yesu Kristo na bwana asifiwe kwa wengine.Sasa leo nimeamka nikatoka kutafuta gazeti ila sikuona cha maana sana magazetini.Nikaamua kuwasha computer yangu nikakuta desktop nimeweka ile picha ya Dr.Slaa akiwa hospitali alipovunjika mkono.Hivi ilikuwaje hadi akateleza bafuni na kuvunjika mkono????Kuna taarifa yoyote rasmi ya afya ya Dr.Slaa???Tuwekane wazi kama kuna mwenye habari.Magazetini hawakuweka details kabisa.

Once again Eid Mubarak na karibuni Tandale.Mwafrika,Solo,Usiyeonekana,Acid,Genekai and all the brothers.

Mungu Ibariki Tanzania
Kwa nini msimuulize babu yenu Sheikh Yahya?
 
na kwenye umati wa watu huwa wanaanguka wangapi?

Dk Slaa anaafya nzuri taarifa zake ailiwekwa hadharani,tusidanganyane,Kikwete anaanguka kila siku Turiani alipoanguka je mtasemaje?Tusifananishe kuanguka kwa Dk Slaa na kikwete tena nitoe taarifa jana amelala kwenye hoteli ileile kwa maana hiyo tatizo lake siyo kama la Kikwete tukubali Ana tatizo na watwambie.Juu ya Dk waandishi tulienda hospitali na tukaonyeshwa X-rays na kupata taarifa zote za madaktari Kikwete wametueleza lini?Wengine tunajua na tunaushahidi msitudanganye mnataka tuseme?
 
Back
Top Bottom