Nini kilimliza Jafo alipotembelea Kibiti.?

Nini kilimliza Jafo alipotembelea Kibiti.?

kati ya watu wasanii huyu jamaa ni msanii balaa, yaan huyu ni type za akna Agrey Mwanry yule aliyedondokea pua ubunge na kupewa ukuu wa mkoa Tabora
 
Mkuu mshana heshima kwako, ama kuhusu kilio cha waziri wetu mhishimiwa Jafo kwa hakika kilichomuumiza ama kumfurahisha mpaka kufikia hali ile anakijua mwenyewe.
Nakuomba fuata ushauri wa mkuu sagaciR naamini waweza mpata mhishimiwa Jafo akakudokeza juu ya kilichomsibu hata kufikia hali ile.
Tukijiuliza bila kupata majibu tutakuwa watu wa majibu ya labdalabda ambayo hayana faida wala msaada.
 
Eli uteuliwe na JPM lazima uwe nguli wa "maigizo". Hata wakilia hua siwaamini
 
Labda kuna Mtu wake wa karibu na aliyekuwa na ushirikiano nae wa Kutukuka wa Kibaiolojia alishawahi kuzama hapo na kutafunwa kama Karanga za Diamond na Mamba enzi hizo.
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]

 
Mwishowe nilijikuta namimi nalia.. Jirani yangu akashtuka na kunihoji kunani kwakuwa kuna watu wakipiga balimi mbili huangua kilio.

Kumbuka hata kilevi cha madaraka huliza....!!!![emoji848][emoji848][emoji848][emoji848][emoji848][emoji144][emoji144][emoji144][emoji144][emoji144]
 
.
IMG-20191110-WA0115.jpeg
 
Back
Top Bottom