Nini kikwazo cha Tactic project chini ya TAMISEMI?

Cosenegy

Member
Dec 11, 2022
77
80
Miradi hii nimeanza kuisikia tangu awamu ya tano,tuliambiwa itatekelezwa katika miji 45,huku ikihusisha ujenzi wa stendi, masoko,barabara,bustani,machinjio,na maegesho ya maloli.

Lakini hatuoni utekelaziji wake,na kumekua na ahadi nyingi kwamba mradi utaanza mwezi fulani,lakini mpaka sasa bilabila.

Wizara na mamlaka husika toeni taarifa kwa wananchi juu ya utekelezaji wa huu mradi muhimu unao subiliwa kwa hamu kubwa.

Huu mradi ni credt tosha kwa selikali,chama,wabunge na rais samia kuelekea 2025,hivyo utekelezaji wake uhalakishwe.
 
Back
Top Bottom