Wewe unaongelea kwa kipindi hiki mimi naongelea tangu muziki ulivyokuwa mpaka umekuja kubadilika, hilo suala kwa kiasi flani prodyuza wamechangia kuwabadilisha wasanii, ukiangalia hapo nyuma wasanii wengi walikuwa kwenye labels ambazo prodyuza anamlazimisha msanii kufanya kile anachoona yeye kinafaa at the moment, sijui umenipata vizuri...?Siyo kweli mkuu,
Sisi maproducer niwauzaj wa production nzima ya nyimbo na wasanii ni wateja wetu,
Unakuta msanii anakuja studio anataka mdundo wa mapiano au afro fusion, ukimuonyesha instrumentals za bongo flava anazikataa au anataka uzimix na piano au genre nyingine ya muziki na ukigoma anaenda kwa producer mwingine ,
Sasa kwa sababu Mimi nataka pesa inabidi tu nimchapie piano moja bovu ili aendelee kuwa mteja wangu,
Kwahiyo mkuu sisi maproducer hatuna makosa Ila tunafanya tu mteja anachotaka kulingana na pesa yake ,
Tofauti nazamani ukienda studio producer anakupa mdundo anaoona wowote unaofaa ,ukitaka fanya usipotaka sepa na hela yako.
Kwa sababu nimeanza kutengeneza program ya kusample sound ya zamani na ya Sasa na kuwachanganya wanamuziki wasasa na wazamani ,Kama ulikua una maamuzi haya au mtazamo huu,kwanini umefungua thd na kutaka maoni ya pande zote mbili? i meant wapenda mziki wa zamani na wa sasa?
Tunaona muitikio digital platforms,kwenye nashows na mitaani tukipita tunaskiaalionana nao wapi hao mashabiki kabla hajatoa huo wimbo na wakwambwambia wanataka mapiono....
Wateja wetu ndy wanatimu Ila Mimi sina timu na ndiyo maana nafanya kazi na Kila msanii Tena wale wale A listHizo team ni kwa faida yenu ila sio kwa quality ya mziki kwa wateja,mtu anakua anaipenda nyimbo kisa tu imeimbwa na mwimbaji anayemshabikia.
Kuimba live ni uwezo wa msanii ,Mziki wa bongo sijui wanakosea wapi au ni ukosefu wa vifaa na utaalamu hasa linapokuja suala la kuimba live
Sisi hatujawabadilisha wasanii bali ukweli usiopingika ni kuwa now msanii ananguvu kubwa kuliko producer sababu wanatulipa pesa nyingi na ma producer tumekuwa wengiWewe unaongelea kwa kipindi hiki mimi naongelea tangu muziki ulivyokuwa mpaka umekuja kubadilika, hilo suala kwa kiasi flani prodyuza wamechangia kuwabadilisha wasanii, ukiangalia hapo nyuma wasanii wengi walikuwa kwenye labels ambazo prodyuza anamlazimisha msanii kufanya kile anachoona yeye kinafaa at the moment, sijui umenipata vizuri...?
Ukisikiliza kwenye radio na live inakuwa vitu viwili tofauti na kwenye show ndio kabisaa sifuriKuimba live ni uwezo wa msanii ,
Sasa hivi industry Ina wasanii wengi studio kuliko wa live
Exactly!Ukisikiliza kwenye radio na live inakuwa vitu viwili tofauti
Aaaah 😆🤣 kweli zombie mtu mbadi yaani kumbe mimi naweza kuja studio sahv nikachagua hit song nitengenezewe na kuanza kuruka hewani duuhExactly!
Kwasababu sikuhizi kuingia studio hakutegemei uwezo wa msanii ,
We lipa pesa njoo studio nakupa Dogo anakuandikia nyimbo na kukuelekeza namna ya kuimba ,unafanya mazoez ,unaingia booth unaimba ,nakurekebishia saut yako hata kama inamikwaruzo itaisha then nakupa ngoma yako ,siku ukiitwa uimbe live ndy utajua mwenywe😁😁
Yaan nyimbo studio unatengenezwa mfano wa wale jamaa wa photostudio wanavyo tengeneza picha mbaya kuwa nzur.
Ndy ni pesa yako tu hata kama huna kipajiAaaah 😆🤣 kweli zombie mtu mbadi yaani kumbe mimi naweza kuja studio sahv nikachagua hit song nitengenezewe na kuanza kuruka hewani duuh
Nikiitwa kwenye show nawanyoosha watu tu mikono juuNdy ni pesa yako tu hata kama huna kipaji
Umeongea point nzuri broo👏👏Mziki wa mashetani zaidi ya kupromote ngono ushoga kudanga pombe bangi ufuksa una kipi cha kuboresha.
Ukiimba mistari ya uhanarakati basati na police Wana wewe
Yaan hizi ndo nyimbo za wasafi, wasipoongelea ngono bac ni pombe, bangi na umalaya.Mziki wa mashetani zaidi ya kupromote ngono ushoga kudanga pombe bangi ufuksa una kipi cha kuboresha.
Ukiimba mistari ya uhanarakati basati na police Wana wewe
Nini kinaitambulisha bongo Flava ?Wakuu mambo vipi ?
Kutokana na maoni ya mashabiki wengi wa huu muziki wetu pendwa wa bongo fleva kwamba muziki wa Sasa hauna ladha kama muziki wa zamani ,
Je nini kifanyike? Tufanye kama zamani au vipi?
Na generation ya sasa hivi wanasemaje kuhusu muziki wetu wa Sasa tuendelee nao au kama maproducer tushirikine na maproducer wa zamani au wasanii wazamani?
Je wanasema muziki umeharibiwa ,wamlaumu nani mwenye makosa,
Je ni sisi maproducer,wasanii,media,wadau,au mashabiki wanaohitaji sound ya Sasa?
NB:Maoni yako ni muhimu ,
Changia hoja kistaarabu bila kejeli,dhihaka, na matusi.
Hapo chini nimekuwekea baadhi ya midundo ya zamani na ya Sasa.
Nawapenda mashabiki zangu.
Eeh mzee kapita kisasa zaidiDaaah we jamaa kweli wakwenda kumuimbishaaa mr nice Napendaaa shishaaaaaaaaaa,sh is ha as a as a as a as..kwelllllll
Genre ya Tanzania ni singeli,michiriku ,taarabu na ngoma za kikabila,Nini kinaitambulisha bongo Flava ?
Instrument zipj ? Kivipi?
Mfano mtindo wa amapiano, ukisikia midundo wake unajua tayari ni amapiano, ukisikia singeli midundo wake unajua ni singeli
Sasa bongo Flava ni nini?
Maana sielewi au ni jumuiko la nyimbo zozote za bongo au ni genire.
Hata best za nyimbo za zamani hazina midundo sawa labda kama zilifanya na stidio moja
Ila akifanya producer mwingine huwa na vionjo tofauti mno.
Angalia amapiano inafanywa na producer tofauti lakini hukosi common vyombo.
Hata singeli.
Je vingi Flava ni kitu gani sielewi?