Zombie S2KIZZY
JF-Expert Member
- Mar 15, 2021
- 828
- 1,632
mi nadhani waendelee hivohivo kupiga makwaito na mamidundo ya souz na nigeria kwa kila wimbo ili bongo flava ipotelee huko huko kusikojulikana, maana hukuna namna nyingine sasa....Wakuu mambo vipi ?
Kutokana na maoni ya mashabiki wengi wa huu muziki wetu pendwa wa bongo fleva kwamba muziki wa Sasa hauna ladha kama muziki wa zamani ,
Je nini kifanyike? Tufanye kama zamani au vipi?
Na generation ya sasa hivi wanasemaje kuhusu muziki wetu wa Sasa tuendelee nao au kama maproducer tushirikine na maproducer wa zamani au wasanii wazamani?
Je wanasema muziki umeharibiwa ,wamlaumu nani mwenye makosa,
Je ni sisi maproducer,wasanii,media,wadau,au mashabiki wanaohitaji sound ya Sasa?
NB:Maoni yako ni muhimu ,
Changia hoja kistaarabu bila kejeli,dhihaka, na matusi.
Hapo chini nimekuwekea baadhi ya midundo ya zamani na ya Sasa.
Nawapenda mashabiki zangu.
Nani alaumiwe kwenye Hilo?mi nadhani waendelee hivohivo kupiga makwaito na mamidundo ya souz na nigeria kwa kila wimbo ili bongo flava ipotelee huko huko kusikojulikana, maana hukuna namna nyingine sasa....
Kwahiyo tuuboreshe singeli ili tupate sound ya kututambulisha?Nyimbo za bongo kwa asili ni singeli. Bongo fleva ni miziki ya kuunga unga na kukopi nyimbo za nje
Zile ni tungo tata mkuu fans ndy wanapenda hizooCha muhimu wapunguze kuimba ngono tu hasa wcb
SahihiKwahiyo tuuboreshe singeli ili tupate sound ya kututambulisha?
Sijawahi fanya mdundo wa singeli ngoja nijaribu kutengeneza singeli pianoSahihi
ππππππππnyimbo za kisasa zinawalipa vyema, japo mie siyo mpenzi nazo kuanzia maudhui mpaka hizo computerized instrumentals
mie mda mkubwa wa TBT
wamlaumu nani mwenye makosa,
Je ni sisi maproducer,wasanii,media,wadau,au mashabiki wanaohitaji sound ya Sasa?
Sema yule demu zuchu anabamba Sana huku mtaani VibunoAu hazibambi huko mtaani ulipo?
Watu waache kuwa misukule, watumie akili zaoWakuu mambo vipi ?
Kutokana na maoni ya mashabiki wengi wa huu muziki wetu pendwa wa bongo fleva kwamba muziki wa Sasa hauna ladha kama muziki wa zamani ,
Je nini kifanyike? Tufanye kama zamani au vipi?
Na generation ya sasa hivi wanasemaje kuhusu muziki wetu wa Sasa tuendelee nao au kama maproducer tushirikine na maproducer wa zamani au wasanii wazamani?
Je wanasema muziki umeharibiwa ,wamlaumu nani mwenye makosa,
Je ni sisi maproducer,wasanii,media,wadau,au mashabiki wanaohitaji sound ya Sasa?
NB:Maoni yako ni muhimu ,
Changia hoja kistaarabu bila kejeli,dhihaka, na matusi.
Hapo chini nimekuwekea baadhi ya midundo ya zamani na ya Sasa.
Nawapenda mashabiki zangu.
Hatujawahi kupromote hayo mambo mkuu by the way Asante kwa mchango wakoMziki wa mashetani zaidi ya kupromote ngono ushoga kudanga pombe bangi ufuksa una kipi cha kuboresha.
Ukiimba mistari ya uhanarakati basati na police Wana wewe
Sikiliza hizi.Hatujawahi kupromote hayo mambo mkuu by the way Asante kwa mchango wako
Jaribu kuboresha segeli unaweza pata sounds yako itakayokutambulisha duniani na sio hayo ma mapiano ya wasauziSijawahi fanya mdundo wa singeli ngoja nijaribu kutengeneza singeli piano
msanii anafuata mashabiki,ππππππππ