jjs2017
JF-Expert Member
- May 25, 2019
- 2,027
- 4,316
Habari za wakati huu, ndugu zangu, wakubwa kwa wadogo nyote njooni hapa kutoa maoni yenu.
Kwa masikitiko makubwa kuna wimbi kubwa sana msimu huu wa shule zilipofungwa la mabinti wadogo kudanga na kuzurura sana mitaani. Wao ni mtaa kwa mtaa huku wakiwa na kila mwanaume bila kujali kwao ni mkubwa au mdogo au muhuni tu.
Nimejaribu kuwa hoji baadhi ya mabinti wengi, wao wanasema wanatafuta mabwana, inatisha sana mabinti wadogo sana wanazurura hovyo huku na huko, wanadanga na kila mwanaume ni huzuni kuu kwa kweli.
Nini kifanyike kuokoa hiki kizazi ndugu zangu, maana hawa mabinti wa sasa ndiyo wa mama wa kesho, shangazi na hata bibi za wajukuu zetu?
Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app