Nini kifanyike kuweza kutimiza malengo

kirisha

JF-Expert Member
Feb 24, 2017
529
1,000
Kwanza napenda kumshukuru Mungu kwa kwa kunipa nguvu na afya kama kichwa cha habari hapo juu kilivyo eleza najua wengi sana huku tunamalengo yetu kuna watu malengo yao yameshatimia na kuna bado malengo yao ayajatimia paka sasa kwakua huku tupo watu wengi nilikuwa naomba watu malengo yao yalishatimia waweze kutusaidia na sisi mawazo waliweza aje kukabiliana na changamoto za maisha na vikwazo mbalimbali paka wakaweza kutimiza malengo yao angalau na sisi malengo yetu ayajatimia na mara nyingi tunajitaidi ili yatimie lakini tunakwama kwa sababu ambazo pengine waliofanikisha walipitia na wakafaulu tunaomba watupe na sisi njia walizo tumia wakaweza kufanikisha nitashuku sana ndugu zangu kama mkiweza kunasaidia kwasababu na mm namalengo na napenda yatimie lakini kila siku malengo yangu ayatimia kwasababu mbalimbali nikipata mawazo yenu ili niweze kutambua ni wapi nakosea paka malengo yangu ayatimii ni kitu gani nakikosa katika kufanikisha malengo yangu paka kila siku najikuta mm ni wakushindwa tu nitashukuru sana kwa ushuri wenu
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom