Mpini Wa Chuma
JF-Expert Member
- Dec 30, 2016
- 1,728
- 1,330
Kila kanda iwe na raisi wake over
CCM imenikuta wala sijaikuta na siwezi kuhama nchi kwa sababu tu ya kuwa tofauti na chama cha siasa. Mauti yangu itanikuta Tanzania ama kwa mipango ya Mungu au kwa hila za Ibilisi Shetani!Hama nchi, ccm uliikuta inatawala na utaiacha inatawala
Kuna tofauti kubwa kati ya CCM na TANUCCM ina historia ya kumshinda mkoloni...sasa wewe muuza madafu unatarajia kuisambaratisha?
Mbona tayari tumeisambaratisha ! Kura mil 3.5 bado hujaamka tu ?CCM ina historia ya kumshinda mkoloni...sasa wewe muuza madafu unatarajia kuisambaratisha?
Wanatumia dola mkuu, mbona liko wazi.Kwa ivo haiwezekani kuwa nje ya CCM na kuweza kuisambaratisha. Kwa nini?
Kwa nini ni "Pointless"?Uzi mrefu but pointless
Nimeona gazeti la "Tanzanite" limeandika kuwa Membe anahujumu!Wanatumia dola mkuu, mbona liko wazi.
Ukiwa ndani ya ccm siyo sawa na ukiwa nje.
Nikikuuliza dira ya chama chako sidhani kama unaweza kunijibuKwa nini ni "Pointless"?
Halafu usipende kuchanganya lugha. kama unatumia lugha tofauti lazima uweke alama za fungua na funga semi kuonesha kwamba hiyo lugha haihusiani na ile ya awali uliyotumia.
Kwani huu uozo wote unaoikumba nchi yetu ni kwa sababu CHADEMA haina dira. Unataka kusema tuna watoto wanaosoma kidato cha pili hawajui kusoma wala kuandika vizuri kwa kuwa CHADEMA haina dira?Nikikuuliza dira ya chama chako sidhani kama unaweza kunijibu
Kuna gazeti la Tanzanite? Wanasema Membe anahujumu chama?Nimeona gazeti la "Tanzanite" limeandika kuwa Membe anahujumu!
Just ask my question what is a vision of chademaKwani huu uozo wote unaoikumba nchi yetu ni kwa sababu CHADEMA haina dira. Unataka kusema tuna watoto wanaosoma kidato cha pili hawajui kusoma wala kuandika vizuri kwa kuwa CHADEMA haina dira?
Mpaka leo watoto wetu wanakaa chini wakati wa kusoma na wale wenye madawati wanasoma darasa moja wakiwa zaidi ya mia moja (100) na shule zingine zina walimu wawili tu kwa kuwa CHADEMA haina dira?
Huko vijijini hakuna zahanati na kina mama wanajifungulia chini sakafuni kama mbuzi ni kwa kuwa CHADEMA haina dira?
Ni nn dira ya chademaHii Lugha siielewi hebu tumia kiswahili. Maana wakija wajuvi wa hii lugha watakwambia ulichoandika ni ugoro wa babu wa kimasai!
Lipo ila wameiga "logo" ya "Tanzania daima". Ndiyo inaonekana ni kama vile hofu ya urafiki wa Membe na mstaafu "anayewashwawashwa" imeanza kuwatia hofu!Kuna gazeti la Tanzanite? Wanasema Membe anahujumu chama?
Kwenye nini? Maana kuulizia tu dira ya CHADEMA bila ya kusema kwenye kitu gani mahsusi inaonesha wala huna ulijualo kuhusu dira!Ni nn dira ya chadema
Membe alikuwa "mtu" wa Ben Saanane. Namuombea Mungu apate uwezo wa ama nia ya kutumia connections zake kuona Ben anapatikana.Lipo ila wameiga "logo" ya "Tanzania daima". Ndiyo inaonekana ni kama vile hofu ya urafiki wa Membe na mstaafu "anayewashwawashwa" imeanza kuwatia hofu!
Chadema lazima ife kwanza kisha kizaliwe chama halisi cha upinzani.Kwa ufahamu wangu nimejiridhisha kwamba CCM ndiyo wanahusika wa anguko la jamii yetu watanzania. Kama kuna wizi na ufisadi chanzo ni wao, ukiona ubaguzi wa kikabila, kidini, kikanda,kivyama au kijinsia basi jua hao ni CCM.
Ukiona mfumo wa elimu unavurugwa, uchumi unaendeshwa shaghalabaghala, watumishi wa umma hawalipwi ipasavyo na haki zao zinavunjwa tena kwa vitisho jua chama ni CCM. Ukisikia watu vigeu geu kwenye kauli na matendo yao kwenye medani ya siasa jua ni CCM.
Ukisikia mwanasiasa kauawa kwenye siasa hawezi kuwa wa CCM ila alilkuwa anaipinga CCM. CCM ndiyo wanatamani vyombo vyetu vya dola viwe kama mwanasesere wa chama chao. Kwenye CCM Rushwa na upendeleo vimetamalaki.
Kila hasara ambayo tunaingia na kila mpango wa hovyo tunaufanya na kushindwa kiini kiko CCM. Mkurabita, BRN, na kila ujinga unaoangamiza taifa hili, mzimu wake uko CCM. Ni CCM ndiyo mchawi wa maendeleo ya taifa letu.
Ndani ya CCM hakuna anayewaza mema kwa ajili ya watanzania wote ila CCM huwatumia watanzania kwa maslahi yao binafsi na ya chama chao. Ukisia CCM unasema "maslahi ya Umma" ujue wanamaanisha maslahi ya chama chao.
CCM wanaposema "wananchi" jua wanamaanisha wale tu wanaokiunga mkono chama hicho. Kila siku CCM hutamani wawe wenyewe tu kwenye ulingo wa siasa za Tanzania, na bila shaka wanamlaani sana Mwalimu Nyerere kwa kukushinikiza kwake kuwepo kwa mfumo wa vyama vingi.
Lakini kama wazalendo wa nchi yetu, ni nini kifanyike kukisambaratisha chama hiki ili nchi yetu ya Tanzania ibaki salama?
Tume ndio inayoamuwa mshindi na siyo wapiga kura, wapiga kura wanajielewa sana tu.CDM 2020 watumie video zilizopo youtube za wagombea mbali mbali wa SISIEM mwaka 2015 wakitoa ahadi na jinsi utekelezaji ulivyofanyika,
Watumie projector yaani iwe kama vile lecture,
Mfano video ya 2015 jimboni X itumike hapohapo jimboni X kama reference ya kucriticise.