kati ya kuruhusu wafanyabiashara binafsi kununua mazao na kuweka vyama vya ushirika which is betterFaida ziko nyingi lakini sio KCU
Mkuu ukweli unabaki pale pale kuwa UMOJA NI NGUVU - UTENGANO NI UDHAIFU ... Umoja unasaidia kwenye mambo mengi lakini watanzania wanautumia umoja huo kujinufaisha peke yao .. hapo ndo kunakuwa ni tatizo.kati ya kuruhusu wafanyabiashara binafsi kununua mazao na kuweka vyama vya ushirika which is better
mm nnako tokea tunalima sana viazi mbna hatutumii vyama vya ushirika na kila kitu kipo fresh
mkuu vyama vya ushirika vingesaidia kaz nyingine ila hii ya kununua mazao ingeachwa kwa watu wengineMkuu ukweli unabaki pale pale kuwa UMOJA NI NGUVU - UTENGANO NI UDHAIFU ... Umoja unasaidia kwenye mambo mengi lakini watanzania wanautumia umoja huo kujinufaisha peke yao .. hapo ndo kunakuwa ni tatizo.
Wakati vinaanzishwa vilikuwa na malengo mazuri sana ... mfano:-mkuu vyama vya ushirika vingesaidia kaz nyingine ila hii ya kununua mazao ingeachwa kwa watu wengine