Tupe kwanza confirmation kuwa nani kalishwa sumu na if posible utuje nani kamlisha- hapo tutakuwa na fair debate ...............
Nyerere pia aliawa ili NBC iuzwe kwa makaburu
Anayeua kwa upanga atakufa kwa upanga.
Wala usijali Mkuu! Hawa wanaojifanya mamafia watajashangaa na umafia wao. We piga kimya.