Nini kifanyike ili kuwashughukia wanaolisha wengine sumu?

mmaroroi

JF-Expert Member
May 8, 2008
2,960
544
Nini kifanyike ili kuwashughukia wanaolisha wengine sumu kwani kwa kweli inatisha na inasikitisha kama kuna watu wanafanya mpango wa kuwalisha wengine sumu sababu ya uongozi.Wana JF tutoe maoni kwa hili.Natoa hoja.
 
Tupe kwanza confirmation kuwa nani kalishwa sumu na if posible utuje nani kamlisha- hapo tutakuwa na fair debate ...............
 
Tupe kwanza confirmation kuwa nani kalishwa sumu na if posible utuje nani kamlisha- hapo tutakuwa na fair debate ...............

Waliolishwa sumu ni Mwakyembe, Mwandosya na Kubenea kamwagiwa tindikali.Soma thread ya taarifa binafsi ya uchunguzi ya ugonjwa wa Mwakyembe humu JF.Wengine waliouawa ni Kolimba,Kombe,Balali,Kigoma Malima,Sokoine,Wangwe,Rutihinda, ongezea wengine.
 
Wala usijali Mkuu! Hawa wanaojifanya mamafia watajashangaa na umafia wao. We piga kimya.

Tuko pamoja Mkuu ila tuongeze maombi wasitumalizie wapambanaji wetu ndani ya CCM ambao wanasaidiana na Wapinzani(Chadema pekee) kuinusuru TZ na uporaji wa rasilimali zake.
 
Back
Top Bottom