DeepPond
JF-Expert Member
- Nov 18, 2017
- 43,321
- 109,613
Sema skuhz mtu kuniacha labda niamue mwenyewe kuruhusu baada ya kuona Sina maslahi nae Tena.DeepPond:
Wewe ni shahidi mzuri kwenye hili. Tunaimarika zaidi kuachika [emoji1666]
Huwa sikubali kuachwa[emoji3]
Nmejifunza sio kila kuachwa ni mipango ya mungu, mengine Ni udhaifu na uzembe wetu.
Kwaiyo nmejifunza kupambania kile nnachoona Ni Bora kwangu,
Mwanamke Kama namuelewa, sikubali aniache kwa namna yoyote ile.
Iwe kwa hiari yake au kushurutishwa, simuachi ng'oo[emoji4]