Determinantor
Platinum Member
- Mar 17, 2008
- 58,413
- 93,518
Nywele zina majina mengi, mara nywele za kichwa, za kwapani, za machoni n.k
Lakini kweli jamani, to be honest,, nini kazi ya ndevu? nimesahau kidogo Biology yangu naombeni mnisaidie, mie ninazo mwili mzima, ila sijawahi kuona faida yake zaidi ya kunitia hasara tu.
Asanteni