W. J. Malecela, aka Le Mutuz!
Badiliko lililotokea kwa
Field Marshall ES ni kubwa mno kwa muda mfupi mno
Mwanzoni alikuwa hata lugha yake ni ya heshima kwa wenzake, maneno yake yalikuwa ya hekima na daima alitanguliza maslahi ya nchi.
Sasa ni mipasho tu, kejeli zimezidi, hamna heshima hata kidogo, anatetea hata mambo ambayo ni kulinda uozo na hivyo ni kinyume na maslahi ya Watanzania.
Inawezekana
au alipata celebral malaria,
au ametumia substance ambazo zimeharibu ubongo,
au amepata frustrations kubwa sana,
au amekosa ajira na sasa anabembeleza mkate wake CCM kwa propaganda za maji taka.
The change is so drastic
- siku zote nimekuwa mpiganaji nataka mabadiliko ndani ya CCM, siogopi mtu na ndio maana simuogopi yoyote humu kama ambavyo simuopgopi yoyote ndani ya CCM, I am a man of my words, CCM chama changu kikikosea nakirekebisha, kion gozi yoyote wa CCM akikosea namrekebisha, sio kama nyie huko Slaa ana kadi ya CCM mnalia kila kona kmutetea, Mbowe anauzia Chadema malori mabovu mnahangika kila mahali kumtetea, mimi ni FMES, RO alipopewa nafasi nilimshambulia kuliko anybody humu JF na nje ya hapa, you know that na baada ya kufanya kazi in two years ninakakubali kwamba he is the best ever to our Security!!
- Nape ameingia uongozi wa Taifa kwa kurekebisha sio kwa kujikomba komba kama nyie huko Chadema, sisi hatuina hizo Tabia, akikosea hata awe nani anarekebishwa, Chadema hamna huo ubavu, sasa ngoja niwape bomu lingine ni jana tu nilikuwa nambebeleza Msichana mmoja toka Europe, yupo hapa likizo kuna Kiongozi wenu Chadema mashuhuri sana alienda huko akataka kumbaka na kesi ipo mahakamani kule majuu, nilikuwa nambembeleza aifute kesi kwa sababu yule Kiongozi ni rafiki yangu na nisingependa amalizike ingawa ni Chadema, ndio tabia zenu huko Chadema unafiki! unafiki na kutoambiana ukweli, CCM tunambiana ukweli tizama Video Makamba aliposhukia mafisadi Dodoma, na karibu wote ni marafiki zake wa karibu,
- Mimi ni CCM damu always sijawahi kuwa Chadema never na will never be, siku zote nimekuwa CCM na hoja zangu ni kuisaidia CCM na kuirekebisha CCM, Nape did the same, kama ni uanfiki na ukigeu geu ni huko kwenu ambako Slaa anaweza kugombea Urais akiwa Chadema na huku ana kadi ya CCM na anailipia!, najua mna hasira maana I am the master of this game na in the last ttwo weeks nimeigeuza this forums kichwa juu, mnababaika hamjui la kufanya maana mlizoea kujadiliana watu wote wenye mawazo sawa, akitokea mwenye mawazo tofauti mnamfungia na kumletea viroja, sasa mmekutana na jiwe, siwaogopi na wal sina wasi wasi kabisa na unafiki wenu!!
- Ni kweli at onetime tulipoanza tulikwua almost tuna ongea lugha moja ya mabadiliko, lakini never didi I betrayed my party CCM, mimi siiamini in watu never ninakiamini chama changu CCM na I work day and night for CCM, Viongozi wa CCM wanakuja na kupita CCM ipo pale pale, wakikosea nawambia tafuta Video zangu zote nikiwa huku bongo kila wakati ninairekebisha CCM, so people hapo hamna hoja kaeni tu mkao wa kula maana I am here na mawe yanakuja, ninawaonea sana huruma maana mnahangaika sana kuteteta msichokijua, infact wiki mbili sasa mnacheza muziki wangu, lakini bado nawaahidi kuigeuza hii sodoma and Gomora, mpaka kufikia uchaguzi 2015 mtakuwa maiti Chadema, I promise that with all my heart and soul!!
- Kuna siku mtoto wangu mdogo aliona matusi yenu Facebook, akaniuliza what is that, nikamuaahidi kwamba wale wote waliotukana na chama chao nitawafundisha adabu, na ndio maana nikarudisha vita hapa hapa JF! and here I am!!
- IN MY POCKET: NINA DATAZ ZA KIONGOZI WENU MASHUHURI SANA KUTAKA KUMBAKA MSICHANA MDOGO DANA LONDON, NINA DATAZ ZA KIONGOZI WENU MWINGINE MASHUHURI SANA KUMTIA MIMBA KIONGOZI WENU HUYU AKIWA NA MKE NA WATOTO, NINA DATAZ NYINGI SAANA, ILA KAENI MKAO WA KULA CAUSE I AM COMING TENA ON MY TIME SIO YOUR TIME, NDIO MTAKIJUA VIZURI SANA KIGEU GEU CHANGU!!
SUPER ES!!!