Indume Yene
Platinum Member
- Mar 17, 2008
- 2,968
- 727
Zote zinaswihi, kasoro hii hapa!
Mwenzako akinyolewa, ficha wembe.
Huyu Zenawi amefanya Ethiopia kama ya kwake, kama vile hakuna kiongozi mwingine anaweza kuongoza. It's just matter of time utawasikia.
Mkwele kama kawaida yake!kuchekacheka tu !hata kwenye mambo muhimu!!Muda si mrefu tutawasikia na hawa marafiki wakitikisika.
Sina hakika hiyo ndo iliimewekwa hapo pembeni kwa Museveni kwa ajili ya nini.
Mdictector waliobobea barani Afrika!!
Muda si mrefu tutawasikia na hawa marafiki wakitikisika.
Sina hakika hiyo ndo iliimewekwa hapo pembeni kwa Museveni kwa ajili ya nini.