Sijutii kuishi najutia kuzaliwa. I wish was be born with concent.Mbona kama unajutia kuishi?!
Nasikia na aina ya udongo huwa inachangia mabadiliko kuwa haraka au taratibu baada ya kuzikwa.Wee ni muongoo,
Sisi tuliwahi hamisha maiti iliyozikwa zaidi ya miaka 13 tulikuta yupo safi, ila alikauka sana yaan kau kau, ila eneo la tumbo ndo lilikua limeshambuliwa sana na wadudu, tulimkuta kucha ndefu, nywele ndefu, na had nguo alizozikwa nazo ziliharibika maeneo ya pale tumboni, kwingine zilikua safi.
Labda wee uzungumzie kuhusu uzikaji waislamu, ila wakristo na Yale majeneza, wanakua bado safi kwa muda mrefu.
Itakua pia.Nasikia na aina ya udongo huwa inachangia mabadiliko kuwa haraka au taratibu baada ya kuzikwa.
Nakupata sana, ila ndio hivyo nimekuambia.Wadudu hawatoki kwenye udongo bali mwilini umenipata
Uwaachie mzigo wa magogo ya kukuchoma kabisa,baada ya kuandika wosiaNitaandika usia wanichome aisee kufukiwa mwenyew chini sio kitu rahisi ujue
Mkuu jipigw kifua na ujiambie ni lazima nitapitia maana ni lazima sio ombiI can't wait to experience those steps 🤗
Being born is fuckking stupid and pointless
I can feel your pain. Mola wetu ni mjuzi zaidi.Aliugua alikua na miaka 6
Sijutii kuishi najutia kuzaliwa. I wish was be born with concent.
"wake up in tha mornin and i ask myselfis life worth livin or should i blast myself?im tired of bein poor, and even worse, im black, my stomach hurts"
-2Pac