BICHWA KOMWE -
JF-Expert Member
- Jul 21, 2022
- 8,523
- 21,665
,Pole sana bro, hakika inaumiza sana40 days, tangu nimzike mtoto....kila siku namuwazia sijui yukoje huko kaburini 😭😭😭
Kwa hiyo ulifukua mwili wa marehemu wako ukanusa sehemu zake za siri na kuona zinanuka sana?! Alikuwa ni nani huyo maiti uliejithibitishia mwanabodi na kutuletea hii sledi pendwa!Siku ya 3 - kucha huanza kuanguka /kutoka mikono na miguu
Siku ya 4- Nywele huanza kutengana na fuvu la kichwa.
Siku ya 5- ubongo huanza kuyeyuka na wadudu huanza kula
Siku ya 6- Ngozi huanza kuwa nyeusi tii na kuanza kuchubuka
Siku ya 7- Tumbo huanza kuyeyuka kutokea mdomoni na sehemu za siri huanza kutoa harufu kali sana.
Siku ya 60 - Mwili wote unakuwa tayari umetafunwa na vidudu na kubaki mifupa tu.
Ni mwisho wa
Dharau zako.
Kiburi chako.
Majivuno yako.
Chuki zako.
Tamaa zako.
Aliugua? stillbirth ama neonatal death?Nashukuru ahsante
Agiza tatu kubwa za baridi...ita muhudumu kisha lipa bwa bichwa umeongea jambo la fertilizer kabisa heko!Haya wale mnaoogopa kuishi maisha yenu kwa kuogopa kusemwa na kuchekwa, subirini siku mkifa mkiwa mnaoza kaburini labda hao mnaowaogopa watawasaidia.
Hata ujifanye we ni mwema sana, utakufa tu na utaoza kama mbwa.
Wacha nile raha mie, kwa sababu siku ntakayokuwa nakufa hakuna atakayekuwepo.
Aliugua alikua na miaka 6Aliugua? stillbirth ama neonatal death?
Daah pole sana.40 days, tangu nimzike mtoto....kila siku namuwazia sijui yukoje huko kaburini 😭😭😭
Asante BAMTU 😂😂😂Agiza tatu kubwa za baridi...ita muhudumu kisha lipa bwa bichwa umeongea jambo la fertilizer kabisa heko!
Pole sana Brother40 days, tangu nimzike mtoto....kila siku namuwazia sijui yukoje huko kaburini 😭😭😭
Wengi hawajielewi.Mwili ni kama vazi tu, nguo ukiivua ikafukiwa unaathirika nini wewe?
Mimi sina tatizo na hilo maana litakuja tu.
Pole madamYani inakuja tu nashangaa hata usiku wa manane naanza kumuwaza sijui huko yukoje masikini 😢
Pole sana, kila mmoja anapitia mambo kama hayoPolee nilifiwa na ndugu yangu ambaye nilimpenda sana kuliko mtu yeyote hapa Duniani
Nilijitahidi sana nisiwaze kabisa hayo mambo zaidi nikawa najikumbusha tu moments nzuri niloshare nae only that
Kwahiyo!??Siku ya 3 - kucha huanza kuanguka /kutoka mikono na miguu
Siku ya 4- Nywele huanza kutengana na fuvu la kichwa.
Siku ya 5- ubongo huanza kuyeyuka na wadudu huanza kula
Siku ya 6- Ngozi huanza kuwa nyeusi tii na kuanza kuchubuka
Siku ya 7- Tumbo huanza kuyeyuka kutokea mdomoni na sehemu za siri huanza kutoa harufu kali sana.
Siku ya 60 - Mwili wote unakuwa tayari umetafunwa na vidudu na kubaki mifupa tu.
Ni mwisho wa
Dharau zako.
Kiburi chako.
Majivuno yako.
Chuki zako.
Tamaa zako.
Hao wenu lini waliwahi kuamka?Mbaya zaidi ufufuke kule chini na hata ukiita hawasikii. (Uzikaji wa waislamu kumbe mtu kazimia.)
Na ni mwisho waSiku ya 3 - kucha huanza kuanguka /kutoka mikono na miguu
Siku ya 4- Nywele huanza kutengana na fuvu la kichwa.
Siku ya 5- ubongo huanza kuyeyuka na wadudu huanza kula
Siku ya 6- Ngozi huanza kuwa nyeusi tii na kuanza kuchubuka
Siku ya 7- Tumbo huanza kuyeyuka kutokea mdomoni na sehemu za siri huanza kutoa harufu kali sana.
Siku ya 60 - Mwili wote unakuwa tayari umetafunwa na vidudu na kubaki mifupa tu.
Ni mwisho wa
Dharau zako.
Kiburi chako.
Majivuno yako.
Chuki zako.
Tamaa zako.
You haven't given life a meaning.....I can't wait to experience those steps 🤗
Being born is fuckking stupid and pointless
What the meaning of life and living.? Knowing that one day you gonna rot on the ground forever and you'll never be alive again.You haven't given life a meaning.....