Principle girl
JF-Expert Member
- Jul 31, 2014
- 1,675
- 1,754
😅 Sio kiivo jamani maana ni sehemu tofauti tofautiNi kabila gani hilo ambalo hua linakutafuna kwa kupeana zamu,
Utakuta hua wana ambia,katafune hapo kisha tembea zako.
ChagaWewe ni kabila gani linakutongoza sana nikupe sababu
Hapanawasukuma nini
Zimbabwe Mixxed! Sasa unaweza kutuma pesa kwa haraka na usalama mpaka Zimbabwe. Piga *150*01#, alafu 4 nje ya nchi na utume sasa au tumia? Mixx Super App.Kuna ile hali hutokea kila anaekutongoza ni kabila fulani yani hata mahusiano yako unakuta upo na mtu wa kabila hilo hilo ukija ex nao unakuta walikuwa hilo kabila yani wakija makabila mengine ni kwa uchache sana ila sasa kuna hilo kabila kila ukienda ivi upo nalo ukigeuka uko nalo, same kwa wanaume unakuta kila akitongoza sehemu akakolea ni kabila fulani kila ukiingia uhusiano unazama kwa hilo kabila.
Kwanini lakini inakuwa hivi?? 🤔
dah mitandao ya simu wanazingua simu zetu wamegeuza viwanja vya matangazo na TCRA wanaangalia tu mi kwa siku napokea sms za matangazo ata 20 zinafikaZimbabwe Mixxed! Sasa unaweza kutuma pesa kwa haraka na usalama mpaka Zimbabwe. Piga *150*01#, alafu 4 nje ya nchi na utume sasa au tumia? Mixx Super App.
Makuzi huathiri watu kwa njia mbalimbali na athari hizo huweza kutokea bila hata ya mtu mwenyewe kutambua. Kwa mfano wanaume wa kabila moja wanaweza kupenda wanawake wenye tabia na mwonekano wa aina fulani kutokana na athari (+ au -) walizozipata wakati wanakua. Kwa mfano mchaga mwanaume akitaka kuoa ataangalia mwanamke mchapa kazi, mwenye uwezo wa kumsaidia mumewe, mcha Mungu na hasa mkristo, hivyo mwanamke mwenye tabia hizi anaweza kujikuta anafuatwa na wanaume wa kichaga.Kuna ile hali hutokea kila anaekutongoza ni kabila fulani yani hata mahusiano yako unakuta upo na mtu wa kabila hilo hilo ukija ex nao unakuta walikuwa hilo kabila yani wakija makabila mengine ni kwa uchache sana ila sasa kuna hilo kabila kila ukienda ivi upo nalo ukigeuka uko nalo, same kwa wanaume unakuta kila akitongoza sehemu akakolea ni kabila fulani kila ukiingia uhusiano unazama kwa hilo kabila.
Kwanini lakini inakuwa hivi?? 🤔
hii kweli ,wasukuma wao wanapenda mademu weupeMakuzi huathiri watu kwa njia mbalimbali na athari hizo huweza kutokea bila hata ya mtu mwenyewe kutambua. Kwa mfano wanaume wa kabila moja wanaweza kupenda wanawake wenye tabia na mwonekano wa aina fulani kutokana na athari (+ au -) walizozipata wakati wanakuwa. Kwa mfano mchaga mwanaume akitaka kuoa ataangalia mwanamke mchapa kazi, mwenye uwezo wa kumsaidia mumewe, mcha Mungu na hasa mkristo, hivyo mwanamke mwenye tabia hizi anaweza kujikuta anafuatwa na wanaume wa kichaga.
Ni kweli. Hata ng'ombe wako tayari kutoa zaidi.hii kweli ,wasukuma wao wanapenda mademu weupe
Acha umalaya,😅 Sio kiivo jamani maana ni sehemu tofauti tofauti
Kuwa makini kuna watu wana tabia wakisha chapa wanasogezea namba mshkaji wake wa nyumbani na tena na tena , haujawaji kusikia wachaga wana tabia ya kubebana na kusaidiana?Chaga
Mhmmm wewe kila kitu maaganoMaagano ya ukoo...
Vunja hayo maagano...
Navunja vp sasaMaagano ya ukoo...
Vunja hayo maagano...
Watu wanalengeshana,huyo mwisho wa siku atajikuta katafunwa na kabila zima.Kuwa makini kuna watu wana tabia wakisha chapa wanasogezea namba mshkaji wake wa nyumbani na tena na tena , haujawaji kusikia wachaga wana tabia ya kubebana na kusaidiana?