Nini hufanya thamani ya gari kuwa kubwa au ndogo

Technology is the answer.. hivi kama una iambia gari...

" Open the door for me " ina jifungua mlango.

"Buckle up my seat belt " ina kufunga mkanda.

" How long will it take me from Dar to Mwanza " ina kupa muda na kilometers

"Any obstacles ahead " ina kujibu its raining a miles away please drive safely.

Gari ina sehemu yaku chemshia chai au kahawa, ina kiji kabati cha nguo na viatu, friji ndogo ya vinywaji, Flat screen, bullet proof, speed ya kwenda mbiguni kama alivyo sema mtu hapo juu..

Hivi hii gari ukiuzwa Billion kadhaa uta linganisha na Raum?


Basically resources, man power, technology used, time, design e.t.c hupandisha bei na uthamani wake juu...
 
Back
Top Bottom