Hapa wameeleza sababuHivi ni nini hasa huwa kinafanya thamani ya gari kuwa kubwa mpaka kufikia mabilioni...mfano buggati cheron mpk bilion 10
Kwani thamani si ndoo inapelekea bei kubwa au ndogo?Unazungumzia thamani au bei....thamani na bei ni vitu viwili tofauti
Historia pia hupandisha bei ya bidha pasina thamani yake ilikuajKwani thamani si ndoo inapelekea bei kubwa au ndogo?
Unajua Ila hauna.......Huwezi fananisha Noah yako iliyotengenezwa kwa Steel na gari iliyotengenezwa kwa Aluminium kama vile Landrover! So aina ya malighafi zilizotumika, the level of engineering that went into that car.
Experiment rahisi, nenda kwenye kituo cha mabasi panda basi aina ya Toyota Coaster.. Safari ya kurudi, panda basi la Eicher.. Tofauti ya ladha utakayoisikia ndiyo itakupa jibu la swali lako.
Hiyo sawa mkuu lakini mpk gari lifikie bilioni tano hadi kumi huko?Huwezi fananisha Noah yako iliyotengenezwa kwa Steel na gari iliyotengenezwa kwa Aluminium kama vile Landrover! So aina ya malighafi zilizotumika, the level of engineering that went into that car.
Experiment rahisi, nenda kwenye kituo cha mabasi panda basi aina ya Toyota Coaster.. Safari ya kurudi, panda basi la Eicher.. Tofauti ya ladha utakayoisikia ndiyo itakupa jibu la swali lako.
Hahaha jamaa kamaliza kabisaNimecheka mpka nimetokwa na machozi
Ila kusema kweli Tz hakuna magari.Performance,materials,
Marekani mbali, nenda Dubai ukajioneeIla kusema kweli Tz hakuna magari.
Sijui vx,v8 hamna kitu kabisa tukifananisha na hayo ma Ferrari sijui ma non ya wasani wakubwa huko marekani.
Ni hatari ati