Kenge (Eng)
JF-Expert Member
- Dec 7, 2006
- 543
- 156
hakuna kitu kama hicho hapa bongo. mtoto haachi ziwa mwenyewe mpaka atemeshwe kwa pilpili.
Yaani watu na akili zenu mnategemea Breaking news kwa source ya mpiga picha Michuzi!? you must be joking. pale ukipewa taarifa ya mnuso leo wapi hapo wala usiwe na mashaka ndio habari zao pale.link haifanyi kazi labda michuzi kafuta post
link haifanyi kazi labda michuzi kafuta post