Nini hatma ya katibu mkuu wa Nishati na Madini?

Nini hatma ya katibu mkuu wa Nishati na Madini?

WOW!

This is detoxification of the system.
Vita vya panzi, neema ya kunguru.

Survival of the fittest....and let the hunger games begin!
 
Aisee............. alisema hadi rais aje, sasa sijui katumiwa sms juuu kwa juu na vasco au vipi

Aisee.....

Siwezi kuamini kuwa huu mtindo sio wakawaida kwa wabunge, nadhani pamoja na kuondoka kwa Jairo kama mzizi wa tatizo hautashughulikiwa bado haisaidii
 
Jairo kafukuzwa huwo ndio ukweli
 
Hivi akijiuzuru si ana haki ya kulipwa mafao? ila akifukuzwa ndo halipwi mafao. Hamuoni hapa kuna hatari walala hoi wamepigwa jenga ya kiuno?
 
Je na walio chukua pesa je ? Au wabunge hawakuchukua chochote ? Maana wote ni fagia fagia tuone kweli uwezo wa gamba lao kutoweka .Kama anabakia Ngeleja na Naibu basi Watanzania CCM inatutania sana sana .
 
hata ngereja nanaibu wake should be in da same way! Alafu wafuatie wabunge walopokea huo mlungula, kama ni wengi kiasi cha kusababisha uchaguzi kurudiwa poa tuuuuuuuuuuuuuuu! Pia na sheria ichukue mkondo wake!
 
Nitarudi natafuta source za uhakika, michuzi blog ni sawa na kitchen party tu.
Hahahahahaaa!!
kwa hiyo kule habari za kuaminika ni kanga, mifagio, ungo, vijiko, mdalasini na udi?
Just asking!!!
 
hosea atataka tumpelekee ushahidi ndompeleke mahakamani?atasema ushahidi hana

Mkuu hapo kuna ushahidi ambao wanasheria wanaita "prima facie evidence" meaning meaning on its first appearance, or at first sight or self-evident. Ashindwe mwenyewe.
 
Inawezekana aligoma kujiuzuru kwa kuwa anajua hiyo issue siyo ya kwake binafsi, labda anajua alipewa maelekezo ya kukusanya hiyo pesa ya chai
 
Hahahahahaaa!!
kwa hiyo kule habari za kuaminika ni kanga, mifagio, ungo, vijiko, mdalasini na udi?
Just asking!!!
Hizo ndio habari unazoweza kupata kwa Michuzi, zaidi ya hizo labda Birthday na minuso kama mnuso wa Mmkwere juzi. hiyo blog nimeimark as a spam kwenye laptop yangu.
 
Mkuu hapo kuna ushahidi ambao wanasheria wanaita "prima facie evidence" meaning meaning on its first appearance, or at first sight or self-evident. Ashindwe mwenyewe.
In fact Ngeleja na uongozi wote wa wizara walitakiwa kuwa chini ya ulizi wakihojiwa na vyombo vya dola. Hii kusema wanamsubiri JK ni kuwadhalilisha watanzania kuwa miaka 50 hatuwezi kuetekeleza sheria zetu? hivi angekuwa ni mkurungezi wa halmashauri kataka kuwahonga madiwani si angekuwa kabebwa juju muda mrefu?
Haki hapa itendeke, ushahidi wa kuwaweka ndani wahojiwe upo? sasa vyombo vya dola vinasubiri nini?
 
Katibu Mkuu wa Wizara ya Nishati na Madini, David Jairo akipata maelezo ikiwa ni pamoja na kuoneshwa juu ya shughuli za upimaji wa mafuta ya magari unavyofanywa na Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA) alipotembelea banda hilo kwenye maonesho ya madini Dodoma leo. Anayetoa maelezo ni Mhandisi Melania Kamugisha ambaye ni mtaalamu wa mamlaka hiyo.

PICHA%252520NO%2525205%255B1%255D.JPG
 
Back
Top Bottom