Kuna ndenge zinategenezwa na urusi m23 ni zaidi ya boing
sent from toyota Allex
Kuna suala la vipuri vya dreamliner n.k, ikiwa vikwazo vikaongezwa maradufu si ajabu ndege za Air Tanzania zikapaki ktk hangar na kukosa cheti cha kimataifa kuwa ni salama kuruka kutumia anga za nje ya Tanzania.
Serikali ya CCM Mpya iwe wapole ijitafakari na kujizuia ili mambo yasije kuwa makubwa zaidi ya zuio la Makonda na karipio la kuruhusu demokrasia ya vyama vingi sambamba na haki za msingi za binadamu.
Kasoro mimi na wewe mkuu.Naliona giza nene kwa ndege yetu pendwa. Hakuna kumodifayi kifaa chake chochote. Ukifanya hivyo tu dege haliinukii juu.
Hivi ni nani aliyetuloga jamani?? Watu hatuna uwezo wa kutengeneza pini tunawatukana kila uchwao; Mibeberu, mijibeberuuu. Haya, yametikisa kiberiti kidogo tu, sote tumekuwa mbuzi jikeee
100% uko sawa kabisaaa mkuu,nadhani wakifanya hivyo somo watalielewa vzr sana.Wawazuwie wasanii wote wa WCB kui gia huko pia, kwa sababu anafaidika financially kutoka kwao!
Inatakiwa awe kama mkoma, kila mtu amkimbie.
Mike Pompeo is no dummy! Political ideologies aside, check his resume...
MAGUFURI HAWEZI MTIMUA BASHITE HATA IWEJE! BASHITE NDIO RAIS WA TANZANIAMungu ampe Magufuli busara ya mfalme Suleiman, amtimue Makonda afanye safari yake ya kwanza nje ya bara la Afrika aende akaombe msamaha bila hivyo kila mradi wake utabaki mashakani.
Haya mambo mnayakuza sana, siajabu ukimshtua Mike Pompeo sasa hivi ukamuuliza kuhusu Tanzania siajabu wala asijue ilipo.
True... Haya mambo yanakuzwa kuliko uhalisiaHayo ni mambo ya kawaida sana sema mnapaniki tu bure, je mngekuwa kama Kenya Raisi wao hadi anapandishwa kizimbani Hague hizo travel ban wamepewa sana lkn bado USA ni largest trading partner wa Kenya kwenye hili eneo na sasa hata wanafanaya bilateral trading pact, maisha yanaendelea.
Hilo swala litaisha muda sio mrefu kuna kitu labda Serikali ya TZ don’t see eye to eye na USA wakitatua hilo kwisha habari na haina uhusiano wowote na ,, human rights abuse” !
Wewe na Iran nani mwenye Pesa?Hahaha wamarekani huwa hawakatai pesa, Dreamliner's ni biashara kwao hata kesho Tanzania ikionyesha nia kutaka kununua nyingine Visa wanapewa.
Hahaha wamarekani huwa hawakatai pesa, Dreamliner's ni biashara kwao hata kesho Tanzania ikionyesha nia kutaka kununua nyingine Visa wanapewa.
Hahaha hata sijaelewa msingi wa swali?! Mbona hata wewe unapesa tena nyingi kuliko mimi lakini wote mimi na wewe tunaishi?!
Watafanya tu, vikwanzo huwa viko specific huwa sio kila kitu kinazuiwa.Hata Ayatollah wa Iran akitaka kununua wanafanya nae Biashara?
Dawa ni moja tu..
Bashite atume watu wake wakamteke POMPEO ili mambo yakae sawa.
Ujinga wao wanadhani ni watu wore wako hivyo.Kwani ulimsikia hata siku moja akisema "Saddam Hussein yule wa Libya?"
Sent using Jamii Forums mobile app