Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 97,864
- 141,434
Ni kujirud na makonda akubali kupuunzika wafanye tukio la kibongo movie kama la kangi alafu ajiuzuru
Usidhani watu ni wajinga kama wewe.Haya mambo mnayakuza sana, siajabu ukimshtua Mike Pompeo sasa hivi ukamuuliza kuhusu Tanzania siajabu wala asijue ilipo.
Makonda ataachia kazi zake na kubaki na ya Mshauri wa Simba sports club
Sent using Jamii Forums mobile app
Pumbavu kweli wee Mama.Haya mambo mnayakuza sana, siajabu ukimshtua Mike Pompeo sasa hivi ukamuuliza kuhusu Tanzania siajabu wala asijue ilipo.
Haya mambo mnayakuza sana, siajabu ukimshtua Mike Pompeo sasa hivi ukamuuliza kuhusu Tanzania siajabu wala asijue ilipo.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Dawa ni moja tu..
Bashite atume watu wake wakamteke POMPEO ili mambo yakae sawa.
Au sio Mkuu..
Kwani ulimsikia hata siku moja akisema "Saddam Hussein yule wa Libya?"Haya mambo mnayakuza sana, siajabu ukimshtua Mike Pompeo sasa hivi ukamuuliza kuhusu Tanzania siajabu wala asijue ilipo.
Dreamliner ni moja ya aina za ndege zinazotengenezwa na kampuni ya Kimarekani ya Boeing.
Rais wetu huyu, tokea aingie madarakani kaweka moja ya vipaumbele vyake kulifufua shirika la ndege la taifa. Ufufuzi huo unaenda sambamba na ununuzi wa ndege, zikiwemo hizo zinazotengenezwa huko Marekani.
Sasa jana baada ya serikali ya Marekani kuweka kikwazo cha kusafiri dhidi ya baadhi ya Watanzania, serikali itajibu mapigo kwa kiwango gani?
Magufuli wakati mwingine huwa ni mtu wa mihemuko. Je, atasusa kuendelea kuzinunua hizo Dreamliners? Akizisusia Dreamliners atanunua ndege gani? AirBus?
Jumuiya ya Ulaya nao wakifuata mkondo wa Marekani je? Atasusa kuzinunua AirBus?
Akisusa kuendelea kuzinunua Dreamliners, hiyo iliyopo [hivi zipo ngapi kwani?] ataifanya nini? Ataiuza? Atairudisha?
Talk about being stuck in a rock and a hard place!
More like the rock [Jiwe] is now stuck in a hard place.
WAle makirikiri 😂😂😂🤣🤣🤣Dawa ni moja tu..
Bashite atume watu wake wakamteke POMPEO ili mambo yakae sawa.
Usiumize kichwa Mkuu, huyu kwa hali ILIVYO SASA inabidi TUMNG'OE TU. Akiendelea kuwa madarakani nchi itazidi kuangamia aisee.Dreamliner ni moja ya aina za ndege zinazotengenezwa na kampuni ya Kimarekani ya Boeing.
Rais wetu huyu, tokea aingie madarakani kaweka moja ya vipaumbele vyake kulifufua shirika la ndege la taifa. Ufufuzi huo unaenda sambamba na ununuzi wa ndege, zikiwemo hizo zinazotengenezwa huko Marekani.
Sasa jana baada ya serikali ya Marekani kuweka kikwazo cha kusafiri dhidi ya baadhi ya Watanzania, serikali itajibu mapigo kwa kiwango gani?
Magufuli wakati mwingine huwa ni mtu wa mihemuko. Je, atasusa kuendelea kuzinunua hizo Dreamliners? Akizisusia Dreamliners atanunua ndege gani? AirBus?
Jumuiya ya Ulaya nao wakifuata mkondo wa Marekani je? Atasusa kuzinunua AirBus?
Akisusa kuendelea kuzinunua Dreamliners, hiyo iliyopo [hivi zipo ngapi kwani?] ataifanya nini? Ataiuza? Atairudisha?
Talk about being stuck in a rock and a hard place!
More like the rock [Jiwe] is now stuck in a hard place.
Mike Pompeo is no dummy! Political ideologies aside, check his resume...