Nini hatima yake?

akatanyukuile

JF-Expert Member
Sep 13, 2019
314
308
Nimekuwa nikijiuliza vyama vya upinzani vilijiondoa kwenye mchakato wa uchaguzi selikar za mitaa. CCM na serikali yake ikagoma kufanya maridhiano wanajidai eti wamepata ushindi wa kisulisuli, sasa siku zinaenda je mwisho wa hili nini?

Kama ikafika siku wakahitimisha kibabe kama walivozoea ina maana miaka mitano tutakuwa kwenye ujima, je ndo mwisho wa vyama vingi?

Mwenye uelewa tujuze. Asante.
 
Na mwanzo wa mwisho wa CCM!!! Maana wanasema Wapinzani wanakwamisha maendeleo....tunataka kuona sasa serikali za mitaa zikiendeshwa kisasa! Kwa kukumbusha, kuwe na fifty million kwa kila kijiji na laptop kwa kila mwanafunzi. Sisi tutakua tunaangalia tu
 
Back
Top Bottom