Mlifanya nini baada ya mzazi kuwa anatumia pensheni yake vibaya?

rikiboy

JF-Expert Member
Feb 19, 2017
21,512
41,965
Ndugu zangu najua baadhi yetu mna experience namna ya kuishi na mzazi aliepata Pensheni alafu akawa na matumizi ambayo unaona sio sahihi lakini sasa changamoto hela ni zake.

Je, kama familia mlifanya nini? Je, ilisaidia na kuleta matokeo mazuri maana unaweza jikuta unagombaa na mzazi mwisho wa siku hela zikiisha anabaki kukutegemea wewe. Vipi ukimpa mawazo ya biashara akayakataa.
 
hao watu huwa hawashauriki aisee
 
Hakuna tatizo pesa ni za kwake na ata hivyo anapokea pensheni kila mwezi, hakuna shida akitumia vibaya.
 
Ndugu zangu najua baadhi yetu mna experience namna ya kuishi na mzazi aliepata Pensheni alafu akawa na matumizi ambayo unaona sio sahihi lakini sasa changamoto hela ni zake.

Je, kama familia mlifanya nini? Je, ilisaidia na kuleta matokeo mazuri maana unaweza jikuta unagombaa na mzazi mwisho wa siku hela zikiisha anabaki kukutegemea wewe. Vipi ukimpa mawazo ya biashara akayakataa.
Wengine wanamloga anapararaise anakuwa hatoki ndani.😁😁😁
 
1. Kama hampatani yaani hamna bond baina yako na huyo mzazi, Achana naye.

2. Mshauri Kwa nafasi yako kama hataki Achana naye.

3. Kikawaida wazee wengi ni wabishi nazungumzia wazee WA kiafrika wenye age kuanzia 60-89.

4. Mkumbushe kuwa sio jukumu la mtoto kumtunza mzazi au wazazi. Hivyo fedha na Mali zake ndizo zitakazomtunza. Na huo ni ukweli mchungu.

5. Hicho anachotaka kukifanya kifanyeni lakini Pesa awapw ninyi mumpige, muitunze Kwa ajili yake.

6. Mkumbushe kuwa kuna magonjwa ya uzeeni ambayo yanahitaji Pesa za haraka na za uhakika. Na ninyi kama Watoto Hali zenu anazijua.

Kiufupi msipende mambo ya unafiki nafiki, au kufichana, Peaneni makavu. Ukweli ndio utawaponya.
 
Huo uzee wote aingie tena kwenye presha za biashara ni bora ale bata tu

Kama ameshakupa kiasi cha hiyo pesheni achana nae afanye anayoona yanamfaa

Hata hivyo zikiisha bado ana nusu mshahara kila mwez hata hvyo hautaweza kushindwa kumsaidia maana ni yeye tu na sio kwamba labda ana watoto wadogo
 
Nidhamu katika matumizi ya hela za pension huonekana tangu siku unapata mshahara wako wa kwanza baada ya kusaini Mkataba wako wa ajira.

Ni vigumu kumbadilisha mtu aliyezoea kutumia fedha zake hovyo tangu akiwa kijana.

Sisi Vijana wa sasa ndiyo tutakuwa Wazee wa baadaye, vipi matumizi yetu yapoje?

Kijana una miaka 40, huna akiba benki hata ya milioni 3, vipi uzeeni ukiwekewa milioni 50 si zitaisha baada ya miezi 6?

Tubadilike ili kuepusha kuwa Wazee tegemezi siku za usoni.
 
1. Kama hampatani yaani hamna bond baina yako na huyo mzazi, Achana naye.

2. Mshauri Kwa nafasi yako kama hataki Achana naye.

3. Kikawaida wazee wengi ni wabishi nazungumzia wazee WA kiafrika wenye age kuanzia 60-89.

4. Mkumbushe kuwa sio jukumu la mtoto kumtunza mzazi au wazazi. Hivyo fedha na Mali zake ndizo zitakazomtunza. Na huo ni ukweli mchungu.

5. Hicho anachotaka kukifanya kifanyeni lakini Pesa awapw ninyi mumpige, muitunze Kwa ajili yake.

6. Mkumbushe kuwa kuna magonjwa ya uzeeni ambayo yanahitaji Pesa za haraka na za uhakika. Na ninyi kama Watoto Hali zenu anazijua.

Kiufupi msipende mambo ya unafiki nafiki, au kufichana, Peaneni makavu. Ukweli ndio utawaponya.

Kabisa
 
Namuona kuna mzee hapa jirani yangu amemaliza pensheni mapema sana.

Mwezi mmoja umepita mkewe amefariki na mzee ana wiki moja sasa ameweka bond nyumba yake kwa thamani ya Tsh. mil. 9 kwa kisingizio kuwa watoto wake hawamjali.

Amekuwa mtu wa pombe muda wote na kuhonga ma-bar med.
 
Biashara ya uzeeni unamtafutia presha.

Back
Top Bottom