Hivi punde
JF-Expert Member
- Apr 1, 2017
- 2,554
- 8,552
Tundu Lissu
Godbless Lema
Asbert Ngurumo, etc etc
Hawa wenzetu wameomba hifadhi ya kuishi huko nje ya nchi kwa kinachosemekana wanahofia usalama wao.
Swali:
Wataishi huko mpaka lini na nini future ya watoto wao kwenye issues za uraia etc?
Huko nje wanafanya kazi au wanapewa huduma zote bure?
Sent from my Infinix X680 using JamiiForums mobile app