Nini hatima ya Watanzania waishio uhamishoni nje ya nchi?

Hivi punde

JF-Expert Member
Apr 1, 2017
2,302
2,000
Tundu Lissu
Godbless Lema
Asbert Ngurumo, etc etc

Hawa wenzetu wameomba hifadhi ya kuishi huko nje ya nchi kwa kinachosemekana wanahofia usalama wao.

Swali:
Wataishi huko mpaka lini na nini future ya watoto wao kwenye issues za uraia etc?

Huko nje wanafanya kazi au wanapewa huduma zote bure?

Sent from my Infinix X680 using JamiiForums mobile app
 

Perfectz

JF-Expert Member
May 17, 2017
7,090
2,000
MKUU MTU HAWEZI KUKIMBIA NCHI BILA MIPANGO THABITI.KWA MAANA NYINGINE HAO JAMAA WANA MITAJI YA KUTOSHA EIDHA MFUKONI KWAO AU SPONSORS
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom