Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 157,081
- 464,047
hahahhhh cc husna mubaUzi wa watu huu ujue
hahahhhh cc husna mubaUzi wa watu huu ujue
Nasisitiza kupewa hela, hivi unajua kuna wanaume wananunua kila kitu kwa kigezo cha kutunza na kutimiza bila kujali mwenzie ataka cashKutunzwa kutimiziwa
makusudi yapiMakusudi hayo
Nipo naye hapa ananisaidia kukoment. Hahahahahhhh cc husna muba
Bila shaka najua haumzungumzii swahiba au!Nasisitiza kupewa hela, hivi unajua kuna wanaume wananunua kila kitu kwa kigezo cha kutunza na kutimiza bila kujali mwenzie ataka cash
hahahhh msalimie yaan naona utanisababishia ban makende tuNipo naye hapa ananisaidia kukoment. Haha
Labda angeuliza umri....maana kuna vitu vingine wanaandaika 18+hivi ningeuliza kweli tena siyajui yapoje kwani
Aiseee.....Good11.kudekezwa
Napenda sana
Baadae muulize bae wako makende ni yapi atakuambiahahahhh msalimie yaan naona utanisababishia ban makende tu
hahahahhh nitamuuliza nitakuletea jibuBaadae muulize bae wako makende ni yapi atakuambia
Teh teh eeeh dah yaani nmecheka hapa saana.hivi ningeuliza kweli tena siyajui yapoje kwani
hahahahhh sumbai umejuaje nafunga nakudai zawadi yangu ikiishaTeh teh eeeh dah yaani nmecheka hapa saana.
Kwa resma ikiisha uje uchukue zawadi yako
Sasa mbona hujanigongea like??Ukiweza hapa basi ushamaliza every thing
HahahaBila shaka najua haumzungumzii swahiba au!
Jibu tena kwangu....haya nitalipokea sina hiyana. Picha ni muhimu eeehhahahahhh nitamuuliza nitakuletea jibu
Kama kila siku unaangalia vibamia hayo mananiliu huwez kuyajuahatujui ndio
like ina pesa kwaniSasa mbona hujanigongea like??
Kwahiyo kwa kifupi ni kwamba hupendi kupendwa na babu??Wee babu Nikikwambia umezeeka unabisha
Siunaona hata huoni vizuri nimeandika hivi umeona vile tehteh
picha ya nn we pic ya makende ya nnJibu tena kwangu....haya nitalipokea sina hiyana. Picha ni muhimu eeeh
Wacha weee.....Kupewa hela