Nini furaha ya mwanamke katika ndoa?

Nini furaha ya mwanamke katika ndoa?

Kuna mtu humu katupa saikolojia ya mwanamke.Hiyo.saikojia inatofautian kabisa na uzi huu.Yeye anasema wanawake wanapenda wanaume wakorofi wanaotumia.nguvu wenye vurugu.Eti ubabe umfanya mwanamke kujisikia safe zaidi.Alienda zaidi kwa kusema mahitàji yao (wanawake) huyaleta kinyume mfamo "mm huwa sipendi cheni (chain) ya dhahabu" hapo maana yake anaipenda hiyo cheni,nk.
 
Huyo labda alikuwa anamuongelea mwanamke wake.
 
Back
Top Bottom