_aysher
JF-Expert Member
- Aug 2, 2016
- 1,131
- 942
Unakuta mwanaume hajui kama mwanaume anahitaji kupumzika kazi za ndani zote unafanya yupo anakuangalia hana huruma.na nini sasa? kwani sisi tuna shida gani hadi tuhurumiwe?
Unakuta mwanaume hajui kama mwanaume anahitaji kupumzika kazi za ndani zote unafanya yupo anakuangalia hana huruma.na nini sasa? kwani sisi tuna shida gani hadi tuhurumiwe?
Huyo hafai achana naye utazeeka mapema kuwa na mme kama huyoUnakuta mwanaume hajui kama mwanaume anahitaji kupumzika kazi za ndani zote unafanya yupo anakuangalia hana huruma.
Ok japo umeandika mwanaume mara 2 ila nimekuelewaUnakuta mwanaume hajui kama mwanaume anahitaji kupumzika kazi za ndani zote unafanya yupo anakuangalia hana huruma.
Cc Gardner na Jay deeHiyo namba moja ndio nini?
Na usiku papuchi inahitajikaUnakuta mwanaume hajui kama mwanaume anahitaji kupumzika kazi za ndani zote unafanya yupo anakuangalia hana huruma.
Typing error lkn nafurahi kama umenielewaOk japo umeandika mwanaume mara 2 ila nimekuelewa
Umeonaeee yani hapo ndio unachoka zaidiNa usiku papuchi inahitajika
kudekezwa maana yake nini11.kudekezwa
Napenda sana
Fanya haraka...Njoo nikubusu babu