Daby
JF-Expert Member
- Oct 26, 2014
- 34,961
- 80,195
Namwambia jovitha nilishawahiwa. Au anataka nitoe talaka?Talaka ya nini bro¿??
Namwambia jovitha nilishawahiwa. Au anataka nitoe talaka?Talaka ya nini bro¿??
Kwani kuna mtu amekwambia nakausingizi au ndiyo zamu ya mama chanja!!!Ulale salama

Wee wee wee asikwambie mtu toka nianze kuingia kwenye hizi ligi za matopeni lzm nichukue kombe kwa uta......Unajua ukimwacha mke kwenda nje maana yake uwe umepata mtamu zaidi yake. Eeeh wewe mtamu mama?
ila si unajua wengine wanakuwa wanang'ong'a ila we itabidi .....Hahaha wewe .Kwani kuna mtu amekwambia nakausingizi au ndiyo zamu ya mama chanja!!!![]()
Wee wee wee asikwambie mtu toka nianze kuingia kwenye hizi ligi za matopeni lzm nichukue kombe kwa uta......![]()
![]()
ila si unajua wengine wanakuwa wanang'ong'a ila we itabidi .....
mtumishi ww hapana baki na zawadi yakoHahaha usiogope......
Unaanzaje kumuogopa mtumish??
siwezi kupenda zaidi yake, hiv hapo umemaamisha kuloa nnKwani ukishapenda ukazidiwa utamkumbka sasa zaidi ya kulowa sehemu zote mpaka machoni
hahahaaAtatuaibisha
Sitaki sitembeagi kwa watu haswa wanaumeBora shemeji umenisaidia kuguna..
Huyu mtoto mkija kunitembelea na swahiba muwe mnamleta
mmhNarubunika kidogo..... Sio saaana.
Si unajua too much is harmful
WeehHaha
Nitamtuliza huyu niachieni kazi
wazee wa fursa
Hahah....huyu ke huyu.
Mkazi wa uru mashariki jirani yake na miss chagga.
kwaresma hii punguza ukali wa manenoUnaogopa dushe? Shindwa kwa jina la muumba. Unaogopaje hicho kitu
Bila shaka namba moja ya asprin imekugusa zaidiUbarikiwe sana mtumishi

acha tu niugue imenishinda babuKumbe ndio maana unaugua magonjwa ya mara kwa mara... ile ni kinga ya maradhi
hahahhhh mm huyu huyu sitakiHuhuuu. Wewe huyu huyu. Ebu njoo au unafikiri nitatuma nauli
Eb weka tuone si kuonyesha unampendaHii kitu daaahhh
Kwa hiyo nasisi tukiweka picha za michepuko yetu si itakuwa vurugu