Nini furaha ya mwanamke katika ndoa?

Nini furaha ya mwanamke katika ndoa?

sumbai kakutana na avatar ya kiume kajua ni mwanaume.

Kuna wanawake wameshikika kwa michepuko hadi wanaweka dp picha zao tena wanazicrop na picha za baba zao.
Hii kitu daaahhh

Kwa hiyo nasisi tukiweka picha za michepuko yetu si itakuwa vurugu
 
Wanajopu wamesema furaha ya mwanamke ni kumkojolesha kitandani lakini niliwahi kusikia si kila mwanamke anakojoa wakati wa tendo la ndoa imekaaje hii?? Wakuu
 
sumbai kakutana na avatar ya kiume kajua ni mwanaume.

Kuna wanawake wameshikika kwa michepuko hadi wanaweka dp picha zao tena wanazicrop na picha za baba zao.
Ushaanza kuingilia sekta zisizo kuhusu umeanza kuiga tabia za bashite ee
 
Wanajopu wamesema furaha ya mwanamke ni kumkojolesha kitandani lakini niliwahi kusikia si kila mwanamke anakojoa wakati wa tendo la ndoa imekaaje hii?? Wakuu
Km hujui kutumia dushe lako vizuri atakojoajee
 
Daby furaha IPI kidogo unataka uniachee we talaka usitoe bora tumuibie
Unajua ukimwacha mke kwenda nje maana yake uwe umepata mtamu zaidi yake. Eeeh wewe mtamu mama?
 
Back
Top Bottom