Last KING Ontuzu
JF-Expert Member
- Jul 22, 2016
- 587
- 783
Nina mawazo kama yako mkuuNi Mjadala Mzuri
Kipindi hicho Interaction za jamiii hazikua kubwa Sana Kama ilivyo Sasa.
Hiyo ndio Sababu kubwa
.
Binafsi navutiwa Sana na Mtu mwenye asili ya Ninapotokea wala sio ushamba
Nashukuru familia yangu/yetu hakuna mambo ya kupangiana kwenye masuala ya mahusiano/Ndoa, unachagua tu msukule wako unaenda kuhangaika nao.
Yeah Mkuu ni Bomba Sana
Hapo unakuta mama mkwe au baba mkwe kaja unaanza kubabaika bila kujiamini ufanyacho ni sahihi au sio sahihi kwa tamaduni za ukweniKwa sababu mnafanana tamaduni na unakuwa comfortable zaidi, ndugu wa mume utawaona ndugu zako tu tofauti na hapo utakuwa kama stranger. Ni mtazamo wangu tu
Sent using Jamii Forums mobile app
Haha utafanyaje sasa, ukisema uchague sana mwishoni utaishia kuwa bachelor tu miaka nenda rudi, so unatafuta mwenye unafuu tu, binadamu hakosi kasoro.Huo mstari wa mwisho umenichekesha eti unachagua tuu msukule wako unaenda kuhangaika nao
Sent using Jamii Forums mobile app
Akijua na kukichapa kilugha mnakuwa bond kwelikweli kama bluetooth ina pair automaticallyJapo Nime-edit zaidiYeah Mkuu ni Bomba Sana
Na awe anakichapa kilugha kama mini Sasa, aiseeee Mbona kamshange hapo
ExactlyHapo unakuta mama mkwe au baba mkwe kaja unaanza kubabaika bila kujiamini ufanyacho ni sahihi au sio sahihi kwa tamaduni za ukweni
Sent using Jamii Forums mobile app
Hawakua WashambaWazee wa zamani walikuwa washamba tu. Siku hizi watu wamejanjaruka.
Hawakuwa na elimu basi.Hawakua Washamba
Walikua na their own Ways of Doing things na Wewe umekuja na zako
Ushamba uko wapi ?
Hawakuwa na elimu basi.
Siku hizi nikujichagulia tuu msukule wako utaenda kuhaika nao mwenyeweWazee wa zamani walikuwa washamba tu. Siku hizi watu wamejanjaruka.
Kuoana watu wa karibu karibu imesababisha inbreeding na ndio chanzo kikubwa cha mutation duniani.
Nahisi walikuwa hawajafundishwa Genetics.
mada yako ni nzuri LAST KING OntuzuWengi wenu nadhani mshawahi kukutana na pingamizi za ndugu na wazazi linapokuja suala la kuolewa au kuoa mtu fulani ambaye ni mtu wa jamii tofauti na yako namaanisha kabila tofauti ,
Mambo haya yapo tangu enzi za mababu zetu ukiangalia ndani ya biblia utakutana na habari za akina Samsoni alipotaka kumuoa Delila mwanamke wa kabila tofauti na lake.
Japo kwa miaka ya hivi karibuni jambo hilo linaonekana kupitwa wakati.
Suala la kujiuliza je kitu gani hasa ambacho wazee wetu walitaka tukipate kwa kuoa wanawake wa kabila moja ?
Na je kipi cha kupoteza unapoamua kuoa jamii tofauti na yako?
Maoni yenu wadau
Sent using Jamii Forums mobile app