Ukipewa nafasi ya pili kuoa/kuolewa utaolewa na uliyenaye?

Donatila

JF-Expert Member
Oct 23, 2014
7,557
21,515
Habari,

Husika na kichwa cha habari hapo juu,

Kulingana na namna ndoa ilivyo watu hufunga na kupewa cheti kabla ya mtihani na kuingia katika masomo yenyewe.

Hapo ndio wengine huona utamu wa kuoa/kuolewa na wengine kuona uchungu.

Wengine wamekuwa kwenye mahusiano kwa muda pia ila ajabu wakiingia tu kwa ndoa wanashindwa...

Sasa wengine huanza kusoma masomo hayo huko ndoani na wengine masomo hayo ambayo wanafeli na kuacha kusoma yaani kuachana kabisa.

Huku wengine wanasoma na kupata sapu yaani kuchepuka.

Wengine wanaposoma masomo hayo wanaishia kuuana kabisa maana hawana akili za kusoma masomo hayo...

Yaani kiufupi mtihani huo wa ndoa umeshindikana watu kufaulu masomo..

Lakini Kuna ambao wanaakili zao wameweza kufaulua....

Sasa kulingana na ndoa kuwa na changamoto mbalimbali nikaona Nije na swali....

Je, ukipewa nafasi ya pili ya kuoa au kuolewa utaolewa Tena kwanini...

Tuambie...
 
Kama mmepewa semina ya ndoa na kuzingatia mafunzo si rahisi kumuacha uliyenaye. Tatizo la ndoa za siku hizi watoto hawajawahi kuishi na wazazi tangu miaka sita wao ni boarding, chuo boarding akitoka chuo ni geto na akipata vipesa anavuta pisi Kali kama kuku wa kyenyeji hakuna jando hakuna semina labda za Instagram na Facebook.
 
Habari,

Husika na kichwa cha habari hapo juu,

Kulingana na namna ndoa ilivyo watu hufunga na kupewa cheti kabla ya mtihani na kuingia katika masomo yenyewe.

Hapo ndio wengine huona utamu wa kuoa/kuolewa na wengine kuona uchungu.

Wengine wamekuwa kwenye mahusiano kwa muda pia ila ajabu wakiingia tu kwa ndoa wanashindwa...

Sasa wengine huanza kusoma masomo hayo huko ndoani na wengine masomo hayo ambayo wanafeli na kuacha kusoma yaani kuachana kabisa.

Huku wengine wanasoma na kupata sapu yaani kuchepuka.

Wengine wanaposoma masomo hayo wanaishia kuuana kabisa maana hawana akili za kusoma masomo hayo...

Yaani kiufupi mtihani huo wa ndoa umeshindikana watu kufaulu masomo..

Lakini Kuna ambao wanaakili zao wameweza kufaulua....

Sasa kulingana na ndoa kuwa na changamoto mbalimbali nikaona Nije na swali....

Je, ukipewa nafasi ya pili ya kuoa au kuolewa utaolewa Tena kwanini...

Tuambie...
wewe mbona hujatuambia ungefanyaje.
 
Siwezi kubadilisha, labda siku nijue ananisaliti. Mengine nimeridhika sana.

Sent from my Infinix X688B using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom