Nini dawa ya uume kusimama kwa mda mrefu

kwisha

JF-Expert Member
Sep 9, 2021
1,666
4,365
Nina tatizo ambao wanajua naomba wanisaidie toka niowe mke wangu kwasasa tuna wiki 3 na nusu toka tuoane
Ila kila nikipiga game na mke wangu uume wangu unasimama kwa mda mrefu bila kulala na kwa bahati mbaya si mwagi kabisa na nikibahatika kumwaga na mwaga kidogo
Japo mke wangu Ana enjoy lakini Mimi hali hii inanikera
Sijui tatizo ili ni nini
 
Three some
kama hauna porn kwenye cm yako ww! nimekaa paleeee
 
Nina tatizo ambao wanajua naomba wanisaidie toka niowe mke wangu kwasasa tuna wiki 3 na nusu toka tuoane
Ila kila nikipiga game na mke wangu uume wangu unasimama kwa mda mrefu bila kulala na kwa bahati mbaya si mwagi kabisa na nikibahatika kumwaga na mwaga kidogo
Japo mke wangu Ana enjoy lakini Mimi hali hii inanikera
Sijui tatizo ili ni nini
Ni vizur sana kumuona dakitari mapema iwezekanavyo,

Maana ikija kuanza kulala kwa muda mrefu itakua mbaya zaidi
 
Nina tatizo ambao wanajua naomba wanisaidie toka niowe mke wangu kwasasa tuna wiki 3 na nusu toka tuoane
Ila kila nikipiga game na mke wangu uume wangu unasimama kwa mda mrefu bila kulala na kwa bahati mbaya si mwagi kabisa na nikibahatika kumwaga na mwaga kidogo
Japo mke wangu Ana enjoy lakini Mimi hali hii inanikera
Sijui tatizo ili ni nini
Kagua vyakula unavyolishwa hapo home.

Uume ukidinda muda mrefu kuna hatari kulegeza misuli inayoushikilia usimame.
 
Nina tatizo ambao wanajua naomba wanisaidie toka niowe mke wangu kwasasa tuna wiki 3 na nusu toka tuoane
Ila kila nikipiga game na mke wangu uume wangu unasimama kwa mda mrefu bila kulala na kwa bahati mbaya si mwagi kabisa na nikibahatika kumwaga na mwaga kidogo
Japo mke wangu Ana enjoy lakini Mimi hali hii inanikera
Sijui tatizo ili ni nini
Kuwa na pesa tu ndiyo suluhisho la kudumu.

Pesa itakufanya ujiamini.

pesa itakufanya usiwe na stress za masunbuko ya maisha/umaskinI.

Pesa itakufanya uwe na utulivu wa akili.

Pesa itakufanya mwanamke uliye nae akuheshimu, asikudharau dharau hovyo.

Hivyo mwisho wa siku unakuwa unatomba kwa utulivu bila kuwa na mawazo mengi kichwani wala papara, hapo lazima uwe unapiga kuanzia 40 minutes hadi one hour per goal.

Mchawi wa nguvu za kiume ni pesa.

Acha kudanganywa na movie eti wenye pesa wanasumbuliwa na mapenzi, labda wanawake ila siyo wanaume.
 
Nina tatizo ambao wanajua naomba wanisaidie toka niowe mke wangu kwasasa tuna wiki 3 na nusu toka tuoane
Ila kila nikipiga game na mke wangu uume wangu unasimama kwa mda mrefu bila kulala na kwa bahati mbaya si mwagi kabisa na nikibahatika kumwaga na mwaga kidogo
Japo mke wangu Ana enjoy lakini Mimi hali hii inanikera
Sijui tatizo ili ni nini
Kama unasema kweli na hautanii...
Ni tatizo hilo na kitaalamu huitwa Priapism..
Mara nyingi huwatokea watu wenye matatizo ya blood cells Morphology kama wale wa Sickler..
Japo ziko aina mbili Hiyo ya sicklers Huitwa ischemic Pria...
Japo hii ulotaja inaonekana Ni non-Ischemic Priapism ni nadra sana kutokea (Rare sana)..
Kama utaweza Nenda Hospitali iliyo karibu kabla haijakuletea madhara mengine..
Maana mara nyingi hii huweza kuwa dalili ya magonjwa mengine...
 
Back
Top Bottom