lazima ukae
JF-Expert Member
- May 15, 2013
- 791
- 417
Inapotokea kwamfano mwanamke wako aliomba umsaidie kiasi flani cha pesa lakini unafanikiwa kumtumia kiasi ambacho kimepelea kidogo tofauti na kile alichoomba lakini unamuahidi kwamba kiasi kilichopelea utammalizia baada ya siku tatu ila anakasirika akidai kwamba humjali
Mfano aliomba umsaidie laki mbili lakini unafanikiwa kumpatia laki moja na nusu halafu unamuambia kwamba elfu hamsini utampa baada ya siku tatu lakini anaanza kununa na kuona kwamba humtahimini na kumjali
Ipi ni njia nzuri ya kumshikisha adabu mwanamke kama huyu ?